Search results

  1. mkwawa gabriel

    Kwa nini JKT wanafanya hivi?

    Great thnker michango yenu ni muhimu xana juu ya hili suala Nikwanin hiki chombo kwa upande wakujitolea wanachukua wazalendo wenye miaka 18-23 tu wakati watanzania wengne wenye umri wa kuanzi miaka 23-28 ndo wanamaliza vyuo mbali na wanania ya kujiunga nao pia?je hawafai na kwann?hawachukuliw...
  2. mkwawa gabriel

    Msaada wa kupata kazi

    Natanguliza shukrani zangu kwenu wote mtakao nisaidia kwa namna yoyote ile hata kwa mawazo Nina shahada ya usimamizi wa mitandao na teknologia ya habari(Bachelor of Science Management Information Systems,BSc MIS)msaada please wa kupata kazi nimatumaini yangu makubwa michango yenu itakuwa ya...
  3. mkwawa gabriel

    Naombeni ushauri juu ya hili!

    Mie ninamchumba wangu ambae nimedumu nae takribani sasa miaka 5.Tulianza mahusiano mie nikiwa nimemaliza kidato cha sita yeye cha nne,nikaenda chuo kikuu yeye akaenda advance level lakini mahusiano yetu yalikuwa mazuri sana na nilijitahidi kumpatia kila kitu na kumwonyesha penzi la dhati nilipo...
  4. mkwawa gabriel

    a stashahada,stashahada na shahada kujiunga na JKT lin nafasi zinatoka?.

    wanajamvi ni lin nafasi za kujiunga na JKT kwa a stashahada(Certificate),stashahada(diploma) na shahada(degree moja na kuendelea) zitatoka???. mwenye taarifa juu ya hil naomba afunguke kwa kina!!! hope mawazo chanya yatapatikana juu ya suala hil thnx all!!!!.
  5. mkwawa gabriel

    Jeshi la kujenga taifa na ubaguzi

    Inavo onekana kumekuwepo na ubaguzi wa kujiunga na jeshi la kujenga taifa katika nchi yetu ya tanzania Malengo ya Jeshi la kujenga Taifa nikuwaandaa vijana wa tanzania kuwa wazalendo na kuwafundisha uwezo wa kujiajiri na kuajiriwa na vyombo vya ulinzi na usalama lakin vijana walio wengi wa...
  6. mkwawa gabriel

    Any information about jwtz or jkt on joining process this year

    Kwa yeyote mwenye taarifa jaribuni kutupia mtupe ideas na mtutoe polini mtupeleke barabarani Thnx!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  7. mkwawa gabriel

    Professional jwtz vp?jamani mwenye information tupia basi atutoe polini tuingie barabarani!!!!

    Mwenye any information kuhusu JWTZ wenye different professionals kujiunga tunaomba taarifa juu ya hilo kama police wametoa vp?JWTZ imekaaje wana Great thinker hope in getting positive help, Thanks to any one who will try giving information and not rumors God be with u all!!!!!!!!!!!!!!
  8. mkwawa gabriel

    Mafunzo ya jkt awamu ya pili

    Nafasi za mafunzo ya Jeshi la JKT zimetoka kwa awamu ya pili kwa walio maliza kidato cha sita mwaka 2013 kwa wanao penda kujiunga mnatakiwa kwenda makambi ya JKT popote pale karibu nawe na mnatakiwa kutunza tiketi za usafili ili muweze kurudishiwa nauli zetu hii ni kwa wale waliopata division I...
  9. mkwawa gabriel

    Ajira JWTZ na vikosi vingine

    Nidhahiri kwamba jeshi la wananchi wa tanzania limeacha kuajiri vijana kutoka mikoani(Wilayani pamoja na vijijini) moja kwa moja kujiunga na jeshi hilo. Instead ina ajiri moja kwa moja kwa usahili unaofanyika kila mwaka ktk vikosi vya JKT ambapo Police,Magereza TANAPA na Usalama wa Taifa nao...
  10. mkwawa gabriel

    An army

    Jamani kumbe Jeshini naako kunaubaguzi eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!wamechukua skuli 24 tu wakaongeza 3 tu zikawa 27 je zingine vp?wana sema bajeti finyo na wakati huohuo wanasema mujibu wa sheria inakuwaje mkangaiko huu?????????????je huo MUJIBU WA SHERIA NI KWA FORM...
  11. mkwawa gabriel

    Lini nafasi za kujiunga na jeshi la wananchi wa tanzania(jwtz) zinatoka kwa mwaka huu 2013

    Jamani wana Great thinker ni lini? nafasi za kujiunga na JWTZ zinatoka kwa mwaka huu 2013 Tujuzane kwa undani na ukaribu coz we need to join an army plz your information will be of a great thnx if you do xo!!!!!!!! thnx have good weakend Se uuuuuuuuuuuu!!!!!!!All Great thinkers
  12. mkwawa gabriel

    Naomba kujua

    Hawa polisi wa Tanzania wamezaliwa na akina nan?maana mmmh!kama vile hawajatoka tumbon mwa mama zao vile naumiza kichwa sipati majibu jaman :yawn:
  13. mkwawa gabriel

    Lookin 4 a girl friend

    Am looking 4 a girl dat will love me and get marriage 2 me and dat marriage will be forever and i believe in family.aged to 23yrs old only
Back
Top Bottom