Search results

  1. D

    UVCCM kwachafuka

    kiwango cha tatizo kimeongezeka kwa kasi ya jabu...exponentially u may say mwanzoni ilikuwa ya kujifichaficha... sasa ni wazi kabisa...mchana kweupe....sababu kuna selective enforcement ya sheria
  2. D

    Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

    LABDA alipitia zimbabwe kabla hajaenda afrika kusini..halafu hapo zimbabwe akapata mambo matamu...analala usingizi anaiota zimbabwe...ni vigumu kulala usingizi wakati unawasilisha mada! angeweza kuteleza hapa, tungesema ameteleza kweli...mfano miji mikuu hii hapa...
  3. D

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    WEWE uwezo wako wote umeishia kufikiri hapo tu? ina maana watesaji hata wakiwa wanne,kumi, watano....wakati wanamtesa ,watakuwa wanatajana majina...eeh joseph,eeh abdallah...shika koleo ,mng'oe kucha...tumia kichwa kufikiri
  4. D

    UDSM student hangs himself - ni wa Mwaka wa Kwanza, kisa majibu ya Daktari

    wapo walioanza mapenzi shule ya msingi...pengine hata wewe lakini wanadunda na hawakupata maambukizi muhimu ni kuangalia umejifunza nini kutokana na suala lililojitokeza. je, inawezekana ushauri nasaha uliotolewa haukuwa wa kutosheleza? je kituo cha afya cha Mlimani kimezidiwa kazi kipindi hiki...
  5. D

    UDSM student hangs himself - ni wa Mwaka wa Kwanza, kisa majibu ya Daktari

    UELEWA WAKO UMEISHIA HAPO? hakuna tatizo lakini...muhimu kuelimishana unafahamu kuwa kuna yatima wangapi wanaoishi na virusivya ukimwi wanasoma wapo vyuo kadhaa,colleges and universities? unafahamu kuwa kuna wengine washamaliza na kupata vyeti vyao? jitahidi kuperuse mambo huku na kule...
  6. D

    Unafiki wa Chadema Ni Huu

    je maudhui makubwa yako ni haya hapa? if u read between lines, is this your main theme? ,na pia kuwahamasisha wananchi kuchagua muungano wa mkataba ? umetumwa na nani? kwa nini utake chadema ikusaidie kwenye hilo?
  7. D

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    do u have any evidence...can u mention number? did u check how many died before crisis? during crisis? after crisis? and make a comparative analysis....unfahamu taarifa aliyotoa waziri bungeni na naibu waziri Lucy Nkya wakati akijibu swali bungeni na kusema mgomo haukuwa na athari...
  8. D

    Uzito wa Zitto, Wepesi wa Hoja kwa Suala zito

    nimelipenda hilo la filikunjombe,i mean kushirikisha wabunge waliotangulia na kuunda jopo.
  9. D

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    kwahiyo wewe colleague wa rama...yupi unamuogopa zaidi? kubenea au ulimboka?
  10. D

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    hayo maneno ya chezea ...movie...verse sana sana neno chezea...ni maneno ambayo hayawezi kuwa ya mtu mtafuta haki au mpigania haki....yanakera hasa ktk serious issues...muda huu hakuna ngonjera wala taarabu...ngonjera zina muda wake
  11. D

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    pale kazini kwa RAMA , huwa mnaingia saa ngapi na kutoka muda upi?
  12. D

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    HUYO RAMA atakuja kukutokea puani ...endelea ...tunafahamu ...unafanya naye kazi kitengo kimoja
  13. D

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    unajulikana vizuri ...sasa mmeshikwa pabaya...kila eneo...huku na huku na kule...
  14. D

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    ...mushi....really like this/strongly liked your comment as it will enlighten we ppo inside here to what extent we dont want to reactivate or activate our reasoning. it has been a tradition now that people keep putting blah blah on some serious issues. keep awakening them and sometimes later...
  15. D

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    KAMA WEWE NI MTAFUTA HAKI,HUWEZI KUISHIWA HAMU YA KUTAFUTA UKWELI NA KUUPIGANIA VINGINEVYO WEWE UNAFAA KUWA KATIKA KUNDI LILE LA WACHA UPEPO UPITE... .NA UNAJIHALALISHA KUWA WATZ WA AINA YAKO NI WATU WA MATUKIO TU NA HAMUWEZI KUFUATILIA LOLOTE SABABU NIA YAKO NI KUANGALIA MATUKIO KAMA BURUDANI...
  16. D

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    great ...well said wasaidie wengi wetu wawe analytical badala ya kukimbilia kuandika comments bila ya kutafakari
  17. D

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    kwa hiyo wewe ni mtu wa matukio. sio analytical? yaani wewe ni kama za mdundiko....ukipita mdundiko, hata kama ulikuwa unapika unaacha na kufuata mdundiko... kama ni kweli taarifa ya ulimboka itasitisha suala la uchomaji makanisa...wewe unapenda yaendelewe kuchomwa? jiulize serikali gani hiyo...
  18. D

  19. D

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    kimya kingi kina mshindo mkuu...unafahamu msemo huu? kufungiwa kwa gazeti la mwanahalisi hakukusababishwa na ukimya wa ulimboka...hata na hivyo kufungiwa ndio kumeonyesha waziwazi jinsi taarifa zile zilivyo za kweli na zimethibitishwa tena na tena na ulimboka. gazeti lilipofungiwa unalosema...
  20. D

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    lipi ambalo umeshawahi kulifanyia kazi katika upya wake....mauaji ya mwangosi? taarifa za mwanahalisi ambazo hazikukanushwa? wewe unataka story mpya uifanyie nini? burudani? ni kama unataka muvi mpya ya james bond 007
Back
Top Bottom