Nimefuatilia taarifa ya habari mpaka taarifa za kitaifa zinaisha, sijaona taarifa ya chaguzi zilizofanyika leo katika kata 29 nchini. Je wameona taarifa ya chaguzi hizi si muhimu kwa wasilikilizaji wao ambao ni wananchi wa tanzania walio na vyama na wasio na vyama?
I strongly agree, he is a man of action with alot of confidence. Hana ngonjela. Kura yangu huwa EL nitampa kwani anifaa kwa wakati huu wa kuweka nidhamu ya utendaji kazi
Nadhani mahakama ni mhimili ambao hata usipopenda kuamini outcomes ya maamuzi yake bado tunapaswa kuendelea kuziamini, cha msingi tu ni pale tunapoona hatujaridhika na maamuzi husika kwenda the next step. Kimsing bado kuna changamoto nyingi nyingi unapoongelea judiciary independence, kwani the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.