Search results

  1. nover

    Ni nini hatma ya Pesa zetu zilizotafunwa na zinazotafunwa na Hawa wabunge 19? Watanzania tumefanywa wajinga kiasi hiki?

    Kwani hii katiba tuliyonayo ndo inaruhusu hawa wabunge waendelee kuwepo bungeni??? Ishu nadhani ni kueshimu utawala wa kisheria ... hiyo katiba mpya ata ikipatikana kama haieshimiwi na wanaoivunja hawachukiliwi hatua apo amna faida yoyote ndugu yangu
  2. nover

    Waziri TAMISEMI umerudisha machinga barabarani Mwanza

    Ile changamoto ya machinga kuziba barabara naona imeanza kurudi upya. Leo nimepita mitaa ya Liberty Mwanza hapafai tena kumerudi kama zamani. Wananchi wanadai kua mgambo wa jiji ni kama wameingia woga na wengine wana mgomo baridi baada ya lile sakata la juzi na namna waziri TAMISEMI...
  3. nover

    Msaada: Nina tatizo kwenye mbegu zangu za kiume

    aise pole sana Mungu akupe rehema zake
  4. nover

    Naomba ushauri wa namna ya kutatua tatizo la kushindwa kujiamini

    Umri umeenda ndugu yangu na majukumu pia yanabana sana
  5. nover

    Naomba ushauri wa namna ya kutatua tatizo la kushindwa kujiamini

    Hii hali ngumu kweli... nashukuru umenijulisha ni kitu unaweza kuondokana nacho
  6. nover

    Naomba ushauri wa namna ya kutatua tatizo la kushindwa kujiamini

    Ni mtu ambaye tulikua marafiki kwa muda mrefu tu. sikuwai kukaa nae kumtongoza, tulijikuta tupo tu kwenye mahusiano tayari
  7. nover

    Naomba ushauri wa namna ya kutatua tatizo la kushindwa kujiamini

    Hongera sana aise. Mshukuru Mungu kwa hilo
  8. nover

    Naomba ushauri wa namna ya kutatua tatizo la kushindwa kujiamini

    Asante sana ndugu yangu... hili ntalifanyia kazi. Naomba unifafanulie kuhusiana na social grp, hii inakuaje?
  9. nover

    Naomba ushauri wa namna ya kutatua tatizo la kushindwa kujiamini

    Yeah, napenda sana kuangalia mpira na kufatilia mambo ya siasa
  10. nover

    Naomba ushauri wa namna ya kutatua tatizo la kushindwa kujiamini

    Nipo Mwanza. Lifestyle yangu ya kawaida tu. mara nyingi nakua kazini na nyumban tu. ku hangout mara chache sana
  11. nover

    Naomba ushauri wa namna ya kutatua tatizo la kushindwa kujiamini

    Habari wana JF, mimi ni kijana umri miaka 30. nina familia mtoto mmoja na nimeajiriwa kazi nzuri tu. Kwa haraka haraka naweza kusema maisha yangu ni mazuri kwa hilo nashukuru Mungu. Kilichonifanya kuandika uzi huu ni tatizo langu ambalo nimekua nalo muda mrefu naweza kusema toka nimezaliwa...
Back
Top Bottom