zitto unajidanganya tena sana tu. wewe ni msaliti na mnafiki mkubwa.
Bahati nzuri mkutano wako wa mwanza nilikuwepo na wengi walikudharau na kukuita yuda. unaponda wapinzani badala ya ccm. Hakika wewe ni pandikizi. ukipata hata kiti kimoja cha udiwani nchi nzima ntakuita mwanaume. labda waha...
Kwamba wewe ni graduate wa MD,MPH na MBA kweli its another silly academic ground! Bahati nzuri mimi nimesoma na wewe na ubabaishaji wako haujaanza leo hata darasani ulikuwa mbabaishaji hata kitaaluma ulikuwa unaibia mno. Mimi nakusikitikia kwa namna ulivyoanza kuwa mnafiki lakini 2015 huwezi...
Kuna mapigano makali yanaendelea mda uhuu kati ya waislamu na wakristu kuhusu kuchinja hapa Buseresere - Geita.
Misikiti mingi imebomolewa na watu kadhaa wameshauawa.
Police mpaka muda uhuu naripoti hawajafika kwa kisingizio ni wachache.
Source: Mimi mwenyewe
------------
JamiiForums...
"ukiwa popote hata bila kujitmbulisha, utamfahamu mtanzani"Hii ni kauli ya kejeli niliwahi kuambiwa na rafiki yangu mkenya. Nilipomuuliza alimaanisha nini alisema watz. tuna sifa zifuatazo:
1. tunachekacheka hata kwenye mambo ya msingi.
2. Ni wepesi kusahau masuala muhimu
3.Ni waoga sana hata...
This is rubbish speech! Inatia kichefuchefu na ndo picha ya taifa linaongozwa na watu mbumbumbu. Nakubaliana na mh. Msigwa kwamba akili ndogo ndani ya taifa letu inaongoza taifa kubwa!
Na huyo ni mmoja. Yupo Lukuvi, Wasira, Makinda, na wengi wapuuzi. Ndo maana niliwai kupendekeza viongozi wote...
Hi, wanaJf!
Ninaomba ushauri wenu wa haraka. Kuna demu ni mtu wa karibu sana na mpenzi wangu. Jana akaniita sehemu na kuniomba leo aje alale kwangu maana anajua mpenzi wangu amesafiri kikazi!
J? nimkubalie?
Ni kweli. Huwezi kujadili mapinduzi ya kidemokrasia bila kuwataja wafuatao; Zitto Kabwe, Dr. Willbrod Peter Slaa, Marehemu Chacha Wangwe na Hayati Phares Kabuye (Biharamulo magharibi). Tatizo la Zitto niliwahi kuandika na narudia kuandika, anapenda mno sifa, ni mnafiki na hana msimamo na ana...
Asante umepost mada nzuri sana. Watanzania mtambue Zitto kama kibaraka wa ccm na ana sifa zifuatazo:
1.Anapenda sifa sana.
2. Kalikula rushwa tangu alivoteuliwa na baba mkwe wake kwenye kamati ya madini (Bomani)
3.Nia ya Zitto si kujenga chama bali kukibomoa kwani ushaidi upo kwamba ana...
Kimsingi nahisi ni kupoteza mda kulijadili kundi la watu wasiojitambua! hawa watu ni hatari sana maana wengi pamoja na kuitwa walimu bado wamepitwa na wakati. wengi hawajui kwamba kugoma ni haki kikatiba ya mfanyakazi! watazame walimu wanavyovaa, wanavyokula, nyumba wanazoishi, hospitali...
Ni hatari sana kuwa abiria kwenye chombo kinachoongozwa na nahodha juha! ni dhahiri kuwa nchi hii inaongozwa na wahuni! Na tatizo kuna wachangiaji wengine ukisoma thread zao unagundua mental disconnection! udaktari unasomewa tena na watu ambao si viraza kama hao majuha waliopata GPA ya 2.7 udsm...
Utashangaa kusikia watz wana matumaini na baraza la mawaziri lililofanyiwa marekebisho. Utawasikia watanzania wanasifu baadhi ya mawaziri kwamba wanafanya kazi! Cha msingi, tusijidanganye kuona maendeleo yoyote kufikia 2015 maana kila mwenye kitengo anapiga dili kwa kasi kubwa maana hakuna...
HAkika upofu wa viongozi na wanaccm ndo umeifikisha nchi mahala hapa ukiunganisha na unafiki! Hakuna nchi rahisi kuongoza kama Tanzania! Hii nchi rais kikatiba ana mamlaka makubwa mno. Ebu tujikumbushe yafuatayo chini ya utawala wa jk:
1.wizi mkubwa kupitia mkataba feki wa richmond ambapo kila...
Tangu aingie madarakani jk ameshimdwa kuongoza nchi kwa sababu:
1.watu anaowateua wote ni washikaji hivo kila waziri na wakurugenzi wanafanya wanavotaka bila kumuogopa.
2.Amekuwa kama mzazi anayewapangia kazi watoto kazi wafanye na hachukui hatua yoyote wasipofanya.
3.Haoneshi dhamira ya...
Tangu lini kichuguu na mlima vikalinganishwa? it seems humjui vizuri dr. slaa. Huwezi kuongelea balali kuikimbia nchi, lowasa kujiuzulu na baraza la mawaziri kuvunjwa pasipo kujua nani alisababisha! no research no right to speak. rudi shule huna tofauti na Nape Nnauye!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.