Search results

  1. S

    Bila milioni mbili 'simvuli'i mwanaume chupi na sijaona mwanaume wa 'kutemebea' na mimi mji huu!

    Ngoja tuwasamehe tatizo wanaume wenyewe ni wa manyara baada ya kuwaza mambbo ya maendeleo mnakaa kudiscuss mwanamke wafikishie ujumbe wenzio nyie wote zeroooo kwanza mna tabia za kizamani za kusimuliana huyo dada akiwa na ngoma je
  2. S

    Facebook imenishinda!!

    Ni nzuri its depend how u use it
  3. S

    Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

    Huyo alikuwa housegirl wake
  4. S

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Jamani huyo baba alimsusa mwanae toka yuko sekondari mpaka mama yake ndio akawa anahangaika nae kumtafutia wa kumpa ada na ninamfaham mtu aliyekuja kumkabidhi kanumba ili amsomeshe sasa kwanini apewe thamani saizi wakati wa uzima hakumjali
  5. S

    "kanumba alikuwa na umbile zuri"JK

    We uliyemuwazia vibaya utakuwa unapenda camerun
  6. S

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Tunaweza tukawa tunamlaumu lulu kiukweli kifo hakikosi sababu na siku zake zilifika
  7. S

    CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

    Jamani aliyeandika hii mada anataka kuwafurahisha watu tu na kusikiliza maoni yao mwakasege hawezi wala hafikirii na angekuwa anataka nafasi kubwa serikalini angeipata kuliko huo ubunge
Back
Top Bottom