Search results

  1. N

    Dr. Mpango alalamika Wajapan kufanyia mkutano hotelini badala ya kumbi za serikali, wenyewe wamsuta

    Nadhani kuna tatizo kwa weledi wa viongozi wetu hasa katika suala zima la leadership. Kabla ya kukurupuka alitakiwa kujua utaratibu uliopo. Fedha zilizotumika JICA au Serikali ya Japan ilishaamua zitatumikaje, hakuna namna ambayo matumizi hayo yangeweza kubadilishwa. Hata kama wasingeeda...
  2. N

    Wanawake, Hivi mnajua mwanaume anayekutaka kimapenzi au anayekutamani?

    It looks interesting good to know that, though sidhani kama kuna fomular maana mwingine anaweza kuwa na aibu wakati fulani au akiwa katika hali fulani na baada mfano anapopata bia mbili anakuwa na uwezo wa kuangalia machoni, kiunoni au shingoni n.k
  3. N

    Serikali yaipiga marufuku Bodi ya NHC kuruhusu ujenzi wa miradi mipya ya kibiashara

    Unajua tatizo kubwa ninaloona mimi ni kuwa bado Watanzania tumekuwa na maono ya kijamaa zaidi wakati Taifa lilishautupa ujamaa siku nyingi. Tukumbuke kuwa uedeshaji wa NHC kwa mfumo wa kiujamaa ulifikisha shirika katika hali mbaya sana. Leo Shirika limefufuka kwa kuwa limeedeshwa katika mfumo wa...
  4. N

    Rais Museveni anachochea chuki baina ya Tanzania na Kenya

    Waziri ni kiongozi wa Serikali na siyo mtu wa kawaida au mfanyabiashara, suala la kuzuiliwa kwake Bandari ya Tanga ni lazima kuangaliwe kwa umakini ili kuepusha chuki, viongozi wa Serikali wanautaratibu ambao unaruhusiwa kutumiwa kwenda kutembelea au kufanya ziara ya mafunzo au chochote katika...
  5. N

    Dr. Carine Wangwe ateuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu NSSF

    Kuna taarifa kuwa uteuzi huo umeteunguliwa. Tunaombeni taarifa zaidi kilichojiri kwa Dr. Wangwe kuteuliwa na kutenguliwa tena.
  6. N

    Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    Ni kweli tunapongeza ni hatua nzuri kwa uzalendo. Hata hivyo ni vyema tufanya tathmini ya kina kubaini kama hii njia sahihi au tunaenda kumkandamiza mlaji. Kwa sasa mahitaji ya sukari Tanzania ni kama 500k metric tonnes wakati uzalishaji wa ndani ni takriban 350k metric tonnes. Hii deficit...
  7. N

    Usifanye biashara kama huna yafuatayo

    Suala la ushirikina limekuwa likitumiwa na wengi sana kukwamisha maendeleo. Ninaamini kuanzisha biashara ikakwama ni kitu cha kawaida lakini wengi wakiona umeshindwa basi ndiyo kigezo cha kujaji hata wengine wanaotaka kuanzisha biashara. Utasikia utaweza wewe hapa hata fulani alishindwa.
  8. N

    Mapendekezo kwa Serikali: Jinsi ya kuimarisha shilingi ya Tanzania

    Kwa ujumla hakuna bidhaa ambazo hazina uhitaji. Bidhaa zote zinauhitaji ndiyo maana zinaendelea kuingia nchi na kupata soko. Nakubalina na wewe kuwa kuna umuhimu wa kuangalia kupanda na kushuka kwa shillingi ikilinganishwa na fedha zenye nguvu duniani. Hili suala la kuangalia kwa upana zaidi...
  9. N

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Ilikuwa lazima ujibu? hayo ni maoni yake nadhani yaheshimiwe na siyo lazima utukane.
  10. N

    Ushauri Kuhusu Mkurugenzi wa TAKUKURU

    Ingekuwa na maana zaidi kama ungeweka wasifu wao. Hao ni wale unaowajua wewe, kumbuka pia wengine watakuwa na majina au mapendekezo ya watu ambao wanaweza kuwa na weledi zaidi ya hao na hivyo kuwa wasifu wao upo wazi ili kutoa nafasi kwa wachangiaji kuchambua. Kama mchangiaji moja hapo juu...
  11. N

    Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    Kimsingi Mawaziri wengi wanaofanya kama alivyofanya Mhe. Rais kushitukiza wamekosa ubunifu na kama ningekuwa mkuu wao naanza kuwa na mashaka na weledi wao. Serikali haiwezi kuendeshwa kwa style moja tu, halafu siyo lazima kama imetokea umepitia mahali uwe na waandishi wa habari. Baadhi ya...
  12. N

    Afisa wa Wanyama Pori TANAPA auawa kwa kuchinjwa kinyama

    Tusipo tafuta undani wa mauaji ya namna hii inaweza kutumaliza. maana leo kwake kesho kwangu mimi na wewe. Wakati mwingine kuna wananchi wanataarifa za vifo hivi kwa hiyo kama wapo wanaojua nini kipo nyuma ya pazia hili wasaidie polisi kwa vyovyote vile. serikali ya sasa ni sikivu watatusikia na...
  13. N

    Watu wengi wa Dar wamekaa kidili dili tu

    Sidhani kama suala uaminifu ni dar tu, kwa sasa kupata mtu mwanifu Tanzania ni kazi ngumu hata awe ndugu, ninajua rafiki yangu yupo nje ya nchi yeye ametapeliwa na mke wake kabisa. Walikuwa wote nje akampa mke fedha kuja kujenga Tanzania yeye aendelee na kazi lakini ilikuwa ndiyo mwishi wa ndoa...
  14. N

    Katibu mkuu wa ardhi ajiuzia v8 mil 5, limetengenezwa kwa mil 55

    Matengenezo Mill.55, tujiulize hiyo gari ina miaka mingapi tangu imetengenezwa? imetembea KM ngapi mpaka wakati inapata ajali. Tukijua hayo tunaweza kumtuhumu kama ameibia serikali au la, maana suala siyo VX tu, je wakati huo ilikuwa na dhamani kiasi gani inakuwa halali kuitengeneza kwa kiasi...
  15. N

    Prof. Lipumba na Lissu wakosoa uteuzi wa Prof. Muhongo

    Ninachoamini kuwa kuwa na kiranja mzuri hata wale wazembe watawajibika. Vile vile wezi nao wataweza kubainika kwa urahisi. Hakuna malaika binadamu ni binadamu tu, kwa hiyo tuwape muda na kumwomba Mungu awajalie maono ya utaifa kwanza
  16. N

    Kwa Prof Muhongo na Mwakyembe, Rais Kateleza kuwateua kwenye Baraza

    Huu ni mtazamo wako na nauheshimu. Hata hivyo naomba kuweka kumbukumbu sawa. Balozi Mahiga ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje hakuwahi Balozi wa Rome, nadhani Balozi aliyehusika na hilo suala na kesi alishinda kuwa ilikuwa ni kashfa ya kutengenezwa ni Balozi Prof. Mahalu na siyo...
  17. N

    Kumbe hata bila ya Mawaziri Nchi inaenda

    Sijaona ni wapi Serikali ya JPM imesema kuwa haitambui uwepo wa Mawaziri. Mawaziri watakuwepo kwa mujibu wa katiba. Hivi tungefurahi leo kusikia baada ya kuapishwa tu ateuwe baraza na mawaziri halafu kwa hizi kasheshe za bandari na TRA unasikia na waziri naye ameondoka kwa kuwa tu ufuatiliaji...
  18. N

    Kamati kuu (CC) ya CCM yampongeza Rais Magufuli, yamtega...

    Kwa namna moja nakubaliana na uwezekano wa watu kutolewa kwa majungu na chuki kati maeneo ya kazi. Suala la vyeo watu wanaenda hadi kwa waganga sasa wakiona kuna nafasi ya kuharibia aliyejuu kwa matamanio ya kupanda bila kwenda kwa waganga unaweza kabisa kutumiwa mwanya huo. Hivyo ni muhimu sana...
  19. N

    Kortini kwa kutaka kumuua Lubuva

    More details please. Tukio lilikuwaje lini na wapi.
Back
Top Bottom