Search results

  1. K

    Lowassa asema atapunguza mshahara wa Rais toka milioni 400 kwa mwezi hadi milioni mbili

    Paul Biya – Cameroon $601,000 King Mohammed VI – Morocco $480,000 Jacob Zuma – South Africa $272,000 Jakaya Kikwete – Tanzania $192,000 Abdel Aziz Bouteflika – Algeria $168,000 Teodoro Nguema - Equatorial Guinea $150,000 (Estimate) Uhuru Kenyatta – Kenya $132,000 Hassan Sheikh Mohamoud – Somalia...
  2. K

    Natafuta power supply ya photocopier lexmark x854

    in case shall release my alternative contacts
  3. K

    Natafuta power supply ya photocopier lexmark x854

    sasa msee actually m nna shida na hiyo k2 there4 fanya kwa 4 hundreds za kitz for the one that fix it
  4. K

    Natafuta power supply ya photocopier lexmark x854

    anyway convert kwa madafu itasimamia wapi?
  5. K

    Natafuta power supply ya photocopier lexmark x854

    hiyo £ 250 kwa used bado n expensive one to afford cjui hapo shipping iko inclusive au siyo?
  6. K

    Natafuta power supply ya photocopier lexmark x854

    mwenye kuweza kunisupply power supply inayowasha display ya lexmark x854 au kunielekeza wapi nawezakupata nitashukuru. Mafindi kibao wamecheza nayo bila msaada bawa pekee ni kupata spare yake. au mtu mwenye kuweza kuiagiza toka nje ni altetnative nyingine nnayotegemea.
  7. K

    Ndugu Zitto ziarani Ulaya

    By FISADI-ORIGINAL Kiburi, jeuri na tamaa ya madaraka inapozidi ndo matokeo yake haya.Who is Zitto, Rais, Waziri mkuu? Ofisi yake inatoa Press release ya safari zake? Zito anaenda kubaya na uchu wa madaraka. Huyu mtu ni hatari.Inabidi ajiangalie angalau awe myenyekevu kidogo anajiona Rais wa...
  8. K

    Serikali yashindwa kulipa mishara ya mwezi wa kumi

    hali inatisha yaan kila siku tunaibeep atm vumbi tukiuliza mara oooh n tatizo la kibenki hasa crdb ambayo haina historia ya ucheleweshaji mishahara. tena hata zile sekta nyeti baadhi yao bado doro tunakomaje?
  9. K

    Serikali yashindwa kulipa mishara ya mwezi wa kumi

    hali inatisha yaan kila siku tunaibeep atm vumbi tukiuliza mara oooh n tatizo la kibenki hasa crdb ambayo haina historia ya ucheleweshaji mishahara. tena hata zile sekta nyeti baadhi yao bado doro tunakomaje?
  10. K

    Tendwa sasa atishia kukifuta CHADEMA

    maskini wahudumu wa afya wanaomhudumia huyu John Tendwa wako kwenye mgomo nini? sina shaka huyu mzee hajapewa dawa zake za kichaa (mental illness) kwa siku 3 mfululizo! au kabadilishiwa dawa baadaya kuona hizo dawa hazimsaidii? kwamba siku hizi anatumia quazepam na secobarbital? jaman jaman...
  11. K

    Dodoso za sensa zatolewa copy Manyara

    NYIE MWASEMA HUKO? Hapa hapa Dar pua na mdomo na huduma na ofisi zote Nyumba kibao watu hawajahesabiwa pamoja na kusubiri kwa shauku kubwa olas karani wa sensa alikuwa akipita na kuchagua nyumba kadhaa na nyingine akaziacha ndani ya makabrasha yake alikuwa na ramani yenye majina/namba ya nyumba...
  12. K

    Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

    mkwawaaaa acha hizo, ukweli wa mambo hayo daima huthibitishwa na reliable source na evidence au habari liliyoshiba. unataka udhaniwe hukujiandaa kuanzisha uzi huu? weka picha kama ulihudhuria, ongeza taarifa zaidi kama ulishudia au hata kama umehadisiwa laa! hauna usiwe unaanzisha uzi kwa style...
  13. K

    Natafuta Mke halisi wa kuoa ALIYEOKOKA

    Nashukuru maana umejiuliza maswali, umejihoji na mwisho wa yote umejijibu mwenyewe kila kheri kwako!
  14. K

    Natafuta Mke halisi wa kuoa ALIYEOKOKA

    Mmmmh umeshakuwa mtabiri au nabii? maana umekwisha ijua mipango ya Mungu hata kabla haijatokea na usivyopenda kumtumikia Mungu au labda kwa kuogopa kwako? mmmh! SIJAFUNULIWA KUWA mke yupo JF bali ninatafuta kama unavyoweza kutafuta sehemu nyingine yoyote ila sharti Wokovu; upo mdada? but be...
  15. K

    Natafuta Mke halisi wa kuoa ALIYEOKOKA

    wandugu niliahidi toka moyoni mwangu kwamba nimngejibu kila mchangiaji lakini naona naanzakuchemsha hata hivyo nitajitahidi kufanya vile kwa kila mtu atakaye nigusa hatahivyo, kunamichango mingine ambayo majibu yake sahihi ni kukaa kimya
  16. K

    Natafuta Mke halisi wa kuoa ALIYEOKOKA

    mmh sasa wewmaonekana utakuja kuwa mwijilist machachari unayetumia vifungu vya biblia kuhararisha yale unayoyataka maana unavyojicganganya mwenyewe hata nimeshindwa nikujibu au ni comment kwa lipi hata hivyo siku moja neema ya Mungu itakushukia utaja yafaham mambo yote hayo kwa usahihi hata mm...
  17. K

    Natafuta Mke halisi wa kuoa ALIYEOKOKA

    aksante sana bwana kiplagati kwa mausia yako inaonyesha huwaamini wasomaji wa jf kabisa na kama anaweza kuwepo mwenye hekima na aliyeokoka kama wewe hata hivyo nauchukua ushauri wako kwa tahadhari kubwa na naahid kuupokea moyoni kwa utendaji
  18. K

    Natafuta Mke halisi wa kuoa ALIYEOKOKA

    cha motoooooo wewe umeokokaa?? If so ntaomba tuwekane sawa kufuatia hoja zako tatizo nililoona linatokana na mtazamo wako na/au mtazamo wa wengi kama wewe! Najibu hivi bado ninaamin nimeokoka maana tafsiri ya kuokoka ni rahisi tu ya kuwa ni kumkiri Yesu kwa kinywa chako na kumwamini moyon...
  19. K

    Natafuta Mke halisi wa kuoa ALIYEOKOKA

    mwanamayu, we kwa mtazamo wako umeona criteria zinamgusa asiyeokoka/ Nadhani you are wrong kwa uhakika wapo walio okoka wenye sifa tajwa hapo juu tena na zaidi ya hizo then keep waiting be patient mwenyewe atapatikana kabisaaaa
  20. K

    Natafuta Mke halisi wa kuoa ALIYEOKOKA

    Mandingoooo!kwanza nashukuru kwa mchango wako, very constructive. tena nashukuru kwa tahadhari kuu uliyonipa; naahidi kuifanyia kazi ingawa najua siwezi kuwa 100% ktk kukabiliana na stippers, hackers and alike.pili ni kwamba mpaka ninakuja huku, inamaanisha kwamba mwenye sifa kama hizo...
Back
Top Bottom