Search results

  1. K

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Hapo kwenye Elimu nimefurahi sana ni mtu sahihi sana naamini Elimu yetu itarejea misingi yake
  2. K

    Masahihisho kidogo katika hotuba ya mwalimu kuhusu siku za awali za TANU

    Hizo ni hisia tu za kidini zinakupeleka mputamputa.Hoja ni kwamba alilindwa na wanachama wa chama cha TANU siyo waislam.
  3. K

    Binge bila G Lema

    Seniority sio tatizo.Tatizo ni BRN boss
  4. K

    Binge bila G Lema

    We unadhani tutamiss kitu gani baada ya kuwakosa bungeni akina Sendeka,Wenje,Mkosamali,Kafulila na hayati Filikunjombe?
  5. K

    Binge bila G Lema

    Jifunze kuandika vizuri kabla hujapost chochote.Spelling ni hatari sana katika kugeuza maana halisi ya jambo.
  6. K

    Julius Nyerere: Serikali ya kifisadi haikusanyi kodi

    Chezea products za BRN kwenye Elimu wewe! na bado
  7. K

    Natafuta kazi ya kufundisha shule za binafsi Kemia na Baiolojia

    Nipe namba zao nitashukru sana.Mpaka sasa niko serikalini lakini malengo yangu ya kitaaluma na kiuchumi siwezi kuyafikia
  8. K

    Natafuta kazi ya kufundisha shule za binafsi Kemia na Baiolojia

    Naitwa mwl Kasase Kafuku ni graduate wa UDSM tangu 2012 katika B.Sc ED Chemistry/Biology .Simu 0766856221
  9. K

    Lowassa asababisha timua timua ITV

    Chezea buku saba za Lumumba!
  10. K

    Chopa ya Livingstone Lusinde yapata hitilafu, yashindwa kuruka

    RIP DEO.natambua kazi na msimamo wako katika kusimamia serikali.Tulikuwa bado tunahitaji msaada wako bungeni.
  11. K

    Natafuta kazi ya kufundisha chemistry au bioloy private schools

    Natafuta kazi ya kufundisha chemisty na biology katika shule za private zinazolipa vizuri.Mimi ni graduate kutoka UDSM(B.Sc with EDUCTION) katikaCHEMISTRY na BIOLOGY tangu 2012 na nina uzoefu wa miaka 3 ninaomba kampani yenu wanabodi.Kwa mawasiliano npigie kwa 0766856221.nitawashukru sana.
  12. K

    CCM hawatoki madaraki 2015 -2020 hata ikibidi kuuwa raia kwa silaha

    Ninawangaa sana vijana wenzangu munabishania mambo ambayo hayana tija au maslahi kwa nchi.
  13. K

    Huyu ndiye mbunge mtarajiwa jimbo la Temeke, Mtemvu tafuta chaka mapema

    Nawatakia kila la heri hayo ndo maendeleo kisiasa.Mageuzi hayaepukiki zama hizi.Ni vigumu kuzuia ndevu kuota.
  14. K

    CCM Ileje Kwishiney !

    Kila jambo lina wakati wake na kila zama na kitabu chakeee
  15. K

    Kumbe Kangi Lugora na Deo Filikunjombe walikuwa polisi

    Naomba kuuliza hivi kwanini Muhongo na wenzake wameshindwa kujiuzuru wenyewe au kuna kitu juu ya pazia?
  16. K

    ESCROW scandal: Pinda apata watetezi

    Tutaendelea kubadili chupa tu lakini gongo itaendelea kubaki palepale.Dawa ni kuweka mfumo imara wa kitaasisi.
  17. K

    Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

    Kama bado tuna watu wanafikiri na kujadili jambo kama hili la ESCROW kwa mtindo wa kishabiki tu.Tuna kazi kubwa muno.
Back
Top Bottom