Search results

  1. J

    Kuna ukweli kuhusu ujauzto na hili?

    Hakuna ukweli juu ya hilo, mie nimeshuhudia wengi tuu waliozaa salama salimini!
  2. J

    Askofu afariki dunia!

    Mpendwa sana askofu mstaafu raymound mwanyika wa jimbo katoliki njombe amefariki dunia! Mwenyezi mungu ampkokee kwake na amuheasabie mema yake yote na kumsamehe madhaifu yake.
  3. J

    Dr Slaa amaliza ziara Marekani

    kichwa kichwa kichwa! Magamba mpo!!!
  4. J

    Dr Slaa amaliza ziara Marekani

    daa mtake msitake huy jamaa ni great! bila shaka wazungu wameelewa kuwa tz bado kuna vichwa maana walizoea kuyaona magamba yakitabasamu bila point! bravo sana DR SLAA WA UKWELI!!!
  5. J

    Tuachieni Nyerere Wetu

    naomba maoni yenu jamani! hivi nyerere angekuwa hai angekuwa bado CCM? kwa maana naona mawazo yake Mengi ni ya chadema!
  6. J

    Madai ya Dkt. Slaa kuhusu wafungwa wa kigeni kuletwa na kufanya kazi Tanzania

    Aliyelala usimwamshe, ukimwamsha utalala wewe! Watanzania tumelala, mwalimu wetu kipofu! Wachina so wajinga ati watuamshe!!!!!!!!!!!!! Wana wazimu?!1111
  7. J

    Mimi ni Mlokole nataka kuoa Mroma

    Inafaa sana kuishi bila kujitazama kuwa wewe ni bora zaidi kwa kuwa umeokoka! Suala hapa so kuokoka ama kutookoka mapenzi hayana hilo mpendwa wangu. Nakushauri kuwa msikivu kwa sauti ya mungu anayetuita sote kwake, mamoja umeokoka au laa! Kuokoka si kuwa ephata ama kuwa mkatoliki hata muislamu...
  8. J

    Zijue sababu zinazofanya wanawake wavae nusu uchi

    Ukweli mtupu! Debe tupu haliachi kutika!
  9. J

    Zijue sababu zinazofanya wanawake wavae nusu uchi

    Ni kweli, "debe tupu haliishi kutika"
  10. J

    Vijana wanena! Wasema Zitto, Makamba, Mbatia na Dr Hussein wanafaa urais 2015

    unaweza kuwarububi wajinga wengi lakini mwerevu mmoja anaweza kukurubuni wewe na kukugeuza lofa! nani hawajui hao wote uliowataja!
  11. J

    Kama sio DR. Slaa, Godbless Lema ndiye Rais 2015

    Hongera kwa kumsifu mtu akiwa hai. Maana watu wetu wamezoea kumsifu mtu akiwa kwenye Jeneza. tukiwa na raisi wa namna hii nchi hii itakwenda!
  12. J

    Nape aunguruma Njombe....

    wewe uliyeanzisha thread hii, yafaa sana uweke ukweli wa mambo kama ulivyo! kama watu mliowakodi kwa kuwapa pesa za mafuta ya pikipiki na magari ili waongeze uwingi wa watu, walifikia maelfu, basi haujakosea sana!
  13. J

    chadema hili turekebishe!!

    jambo hili kama lina ukweli linawagawa watanzania hasa wale wenye upeo mdogo. kwa namna nyingine wale wanaosema kuwa chadema ni chama cha kikikristo watapata mwanya mkubwa na vielelezo vitaongezeka. ukweli ni kwamba CHADEMA ipo hivyo ilivyo kwa kuwa viongozi wake wanamwogopa mungu wa kweli...
  14. J

    msaada tafadhali kwa wanafunzi wanaosoma medicine

    hi! do not be discouraged by less/little thinking people! there is a very great number of medical doctors who did not score even that what u av scored. our universities have such people, Buganda for instance has a course 4 the people of ur likely performance and they become qualified and needed...
  15. J

    Sitaki kuamini, Dk Chami, alikuwa Tanzania one, mara mbili?!

    wataalamu wa falsafa wanasema, "knowledge is not virtue" kienyeji twaweza sema, mtu anaweza kuwa na maarifa ya mambo mema mengi, lakini akashindwa kufanya hata moja ya hayo mema anayofahamu. ukirejea muvi za kanumba, hata kama alikuwa anaigiza, lakini unaweza kujifunza kuwa alikuwa akijua mambo...
  16. J

    Sitaki kuamini, Dk Chami, alikuwa Tanzania one, mara mbili?!

    wataalamu wanasema, "knowledge is not virtue" maana yake kienyeji, unaweza kuwa na maarifa mengi ya mambo mema ila ukashindwa kuyafanya hayo unayoyafahamu.
  17. J

    Mawaziri watakaotoswa na JK kuasi chama

    naomba msaada ndugu: (kwa yeyote atakayesoma) nifanye nini ili niweze kuanzisha thread katika jamii forum? shukrani kwa yeyote atakayetoa msaada. waweza kunisaidia kupitia adress yangu ya jamii forum, au mligojohnbosco@yahoo.com au face book: John Bosco Mligo.
Back
Top Bottom