Ww hujafika kenya ukajionea ama ukawa na wakenya. Wakenya weng matanir na pia masikini wapo. Kwa mfano angalia ata barabaran wakenya wengi wananunua magar ya kisasa ambayo hela yake kwa kwetu ni nyingi sana ila ukija tanzania wengi wetu tuko kwenye gar za chini ya 20M wakati kenya bila kuwa na...
Kwenye maisha naamin kika mtu anahistoria yake na anamagumu anapitia tofaut nanmtu mwinginr unaweza ukajiona umepitia magumu ama unapigia magumu kuliko watu wote duniani ila ukisikia yamwenzako unajiona unaafadhali. Sometime unaweza ukawa na pesa na zisikusaidie kutatuw tatizo lako.
Mkuu chakufanya ishu sio kuwa verified. Ishu utafute DAC ya HiFi alaf tafuda earphone zenye uwezo wa maana kama kz qkz etc unakula bonge la mzik kwenye simu laptop etc
Niko na mediastar 4030 nmeiconnect kwenye internet na iko na forever pro ila still haifungui azam package while my friend yuko na starsat 2000 extreme yeye inafungua. Sasa sijajua tatizo ni nn
Hapa sawa boss maana nina hm theater 1000watt lakin nikifungulia had mwisho saut ni kubwa za mid na tweeter lakin bass yakawaida na power consumption huea ni 80watt wakat nkifungulia sub ya kodtec huwa inaendaa mpaka 180watt but bass ndo kubwaa. Na kwa uzoef wako ww unefungua sana hizi seapiano...
Mkuu resistance naelewa. Ila kuna ktu ningependa unielewesh maana na mm pia na wengine weng huwa hatukielew. Mfano unakuta subwoofer ya seapiano imeandikwa kwenye box 150watt ila nadhan ukifungua ndan sidhan kama ile speaker ni 150w maana huwa nina meter nikipipa power consumption unakuta ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.