Search results

  1. M

    Gesi Yetu Na Alichoniambia Profesa Chachage Jana Usiku...

    Kaka Maggid hongera kwa kutuletea hii. Nikuombe upitie pia taarifa aliyoitoa waziri wetu wa nishati....alipokuwa akilisemea sakata la gesi ya Mtwara,naona kama naye alitumia matusi kama hayo au yanayofanana na hayo kwa wansmchi wa Lindi na Mtwara;!!Au ndo "makuadi wa soko huria?
  2. M

    Takukuru yawachunguza Mawaziri wanaotuhumiwa

    Nadhani kuna tofauti kati ya 'Investigation' na 'Auditing' hebu tusaidiane ili tujadili vizuri mada hii!!!!
  3. M

    Kumuondoa Waziri Mkuu Madarakani

    Asante kwa kipande hiki!
  4. M

    Sefue (Katibu Mkuu Kiongozi) atinga kwa Makinda Bungeni kuinusuru serikali

    Nauona mwisho wa utawala huu mbovu umekaribia. Wanaojua kusoma alama za nyakati wameshafanya maamuzi, tieni saini wabunge wa CCM tukamilishe kazi tuliyotumwa na wananchi.
Back
Top Bottom