mkutano wa hazara uliofanyika jana kata ya magomeni Kilosa ulizihirisha kuwa serikali ya CCM isivyo wajari watz baada ya mkuu wa wilaya kuwapa ushilikiano wahujum uchumi walio vunja miundombinu ya viwanda ,kuwatumikisha watz bila kuwalipa stahiki zao, leo wajakupola ardhi kimabavu
Hacheni ujinga watz mwaka 67 mwl nyerere alitaisha mashamba nakumilikiwa na watz wenyewe chini ya serekali huru pili kikatiba shamba lisipoendelezwa kwa 5yrs na kutoinufaisha jamii mwekezaj hupolwa ikoje kilosa kuna mchwa hapo wapaswa valisha gwanda
Jimbo la kilosa anakotoka mh.Mkulo ccm laingia ktk hali ya kusikitisha sana kufuatia ubazilifu mkubwa wa mali za uma na vyombo vya dola.wananchi wapolwa ardhi yote na kujimilikisha viongoz na inasemekana mkulo akiwemo ili wakope bank kuu....
muda huu Dr.slaa anahutubia wananchi wa kilosa na amevumbua ufisadi mkubwa ktk misaada ya wahanga wa mafuriko kilosa,upolwaji ardhi na uvunjifu wa haki za msingi za kibinadamu
vita ya majimaji ni mojawapo ya ushahidi wa kihistoria unaotukumbusha upinzani ulioonyeshwa na watanganyika kupinga upolwaji wa mashamba na makazi yao kama kilosa leo hii.Tz completely dependent,not free,and is a white men colony "we need our country"by ballot/bullet
kufuatia taarifa kwa uma wa kilosa hasa kata ya magomeni!iliyotolewa na afisa mtendani kata kuhusu kupolwa mashamba ya wananchi na makazi yao, na kupewa muwekezaji.na kuwataka wananchi kutolima mashamba hayo ifikapo august 1 2012 na kutoka kwenye makazi yao ya sasa hali inayowafanya wakilosa...
vijana maneno sio vitendo!yatupasa kuwa makini kifikra na utendaji pia kwa mtu mmoja mmoja na vikundi ikibidi!tujifunze kwa yaliyopita tupate dira kamili ya kuinusuru nchi hii?vizazi vijavyo vitukumbuke kwa mema sio hoo!waliingia mikataba laghai ...mpaka lini?
B'se we dont have our standing point interm of national ideology &philosophy and long turn living without national identity!thus the issue of values recently is confusing and complicated my dear.as it raise questions what?to whow? When&where? How?considered apropriate!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.