Search results

  1. P

    Rais Kikwete ahojiwa na CNN kuhusu ujangili

    Mhe Nyalandu ameongea vizuri sana alipohojiwa na Sky News .. a very good plea to all people around the world to join effort initiated by President of Tanzania to save the endangers species.
  2. P

    Maajabu ya Mkuu wa Mkoa Wa Dodoma

    good reasoning. "Binafsi nimemwona wa ajabu kwasababu yeye kama Mtumishi wa serikali ni wajibu wake kusisitiza hilo muda wote, siyo kipindi cha Mkutano wa ccm. Ana maana baada ya mkutano kuisha madereva hao warudie kwenye enzi zao za vurugu utapeli na usumbufu kwa abiria!"
  3. P

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    heheheh, statement yako imetulia
  4. P

    Sophia Simba ambwaga Anne Kilango uenyekiti UWT

    Sijamsikia Kitambo mzee inawezekana kweli kashapima maji yana kina kirefu
  5. P

    Kongamano la Mwl Nyerere Nkrumah Hall: Esther Wasira awagusa wengi!

    Jerry Slaa ni kijana smart sana. baada ya kumsikiliza leo hotuba yake nimemkubali. Seek inspiration from this brave young lad.
  6. P

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    Kwa matendo yao machafu, Serikali imelifungia mwanahalisi. Bahati mbaya imesahau kuna jamii forums. RIP kamanda Mwangosi, ndugu zake poleni sana.
  7. P

    Live On Star TV: Kipindi maalum na TRA kuhusu mauzo na utoaji risiti

    TRA inafanya juhudi gani kukabiliana na wafanyabiashara wenye vitabu viwili viwili? Pia inakuwaje wafanyabiashara wanakuwa na uwezo wa kukuuzia risiti peke yake (mfano ukiwa unataka uprove ofisini kuwa ulinunua kitu fulani unaweza tu ukaenda kwa mfanyabiashara na akakuuzia risiti empty yenye tin...
  8. P

    ITV na maswali ya kipima joto-- napata taabu sikiliza

    Sijawahi ona maswali mabovu kama ya kipima joto. Binafsi nafikiria wanaojibu maswali ya kipima joto kwa njia ya message ni wafanyakazi wa ITV peke yao, haiingii akilini kama kuna mwananchi wa kawaida anaweza akapoteza fedha yake kwa ajili ya upuuzi wao. Are they really serious? I don't think so...
  9. P

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Nimependa baadhi ya watu wachapa kazi wamo kwenye list .. Tunawaombea muweze kufanya kazi nzuri. Siwajui wote ila kwa ninao wajua waliopo kwenye list, Safi.
  10. P

    Wizi wizi mkubwa wa airtel kwenye moderm zao za promotion.

    Mkuu nashukuru sana kwa kutufahamisha juu ya wizi huu. Nusura niingie mkenge. God bless you
  11. P

    Proved: Halima Mdee alinena

    Kaka hapa umetema points. Well done.
  12. P

    Chadema, CUF, NCCR na TLP Kuhutubia Mikutano kwa Pamoja Nchi Nzima

    Mkuu maslahi ya taifa kwanza, vyama baadae.
  13. P

    Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

    Nadhani wanazimerge kurahisisha ufuatiliaji wa mada zilizosawa. Ukifungua uzi just remember its time of postage, then go to the last page au last but one utaipata ile mpya ..
Back
Top Bottom