Search results

  1. M

    Chadema wakamata Waziri Nagu akigawa Rushwa

    Mwisho wa magamba una hesabika
  2. M

    Mtwara: Simbachawene azuiwa njiani!

    People awataki siasa kwenye mambo muhimu,magamba wa kajipange kwani wana mtwara wako macho na gesi yao.
  3. M

    Slaa atangaza 2013 mwaka mtakatifu

    Ni mapambano ya kweli mwaka huu mpaka kieleweke,Shoza kaa kule na mipasho yako ya kianalogia.
  4. M

    'Tanga ina viwanda 72 vinavyofanya kaz': Dk. Abdallah Kigoda

    Nadhani kahesabu mashine za kukamulia juice kwan tanga ndo nyingi sana
  5. M

    Mwanamke huyu simwelewi ana Mume na watoto watatu lakini bado hajatulia!

    Mchekee uone kama utakatwa mapanga na wana arusha,Mwambie atulie kwa mumewe.:shut-mouth::shut-mouth:
  6. M

    Akina-KINANA waliishia wapi?

    Wako busy wanauza meno ya tembo.
  7. M

    Zimwi linaloila na kuimaliza board ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu???

    Nadhani board ninavyo jua ni kama miungu hapa Tanzania.Akuna haki kwa masikin,Watumishi wanajibu watu vibaya.Mungu tuongoze tupate Tanzania mpya tuitakayo.
  8. M

    Kibaha: CHADEMA yaporomoshewa matusi ya nguoni, mpango wa utekelezaji wa ilani wawekwa pembeni...

    Uyo ndo katibu mkuu bara,Magamba kwisha kabisa,CDM ni kujipanga kuchukua dola 2015.
  9. M

    Bunge dogo lililofanyika hivi karibuni...

    Nadhan vikao halali vya bunge vinafahamika,Kajipange upya mkubwa.
  10. M

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Arfi) atupa kadi kikaoni, atishia kujiondoa chamani!

    Mungu tuepushe na fedha chafu za magamba wanao tumia vijana kuvuruga chama chetu.
  11. M

    Zitto vs Waziri wa ulinzi bungeni leo

    ule mtego jombaa,mbona una kuwa gamba tena?
  12. M

    Nepi Nepi to Maria Roza

    Happy birthday maria,mungu akupe heri ya kuishi miaka kibao kama kunguru.
  13. M

    Salam za pongezi.

    Nawatakia easter njema wapendwa wa mungu.
  14. M

    Pongezi.

    Jaman nawatakia Easter njema na tukumbuke kutubu dhambi zetu.
  15. M

    Busara za Mbowe zaonekana

    Nadhan ndo lamuhim zaid kukata rufaa badala ya kurudia uchaguzi saivi.
  16. M

    Mbowe Ndo ANASIMAMA Ndo atatoa TAMKO

    Kasemaje kamanda Mbowe?
  17. M

    Alicho kiandika kanumba katika kurasa zake kabla ya mauti kumkuta

    Mungu ampe pumziko la milele Stive.
Back
Top Bottom