Search results

  1. SICHONE

    Ujumbe mzito wa makamu rais wa Marekani kwa JPM

    Marekani inamshinda anaanzaje na zanji atoke zake huko. Sisi tunajitosheleza
  2. SICHONE

    Asilimia za kura za wabunge za ACT-Wazalendo

    Hata chadema mlianza hivyo na zitto akiwa shujaa wa kukikuza chama tatizo uchagadema ndio unawasumbua. Hureeeey Zitto kabwe songa mbele tunakuja kukuunga mkono
  3. SICHONE

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Wewe unataka tuwapange vilaza ili waboronge!!! tangu lini CDM wanaombea serikali imara ya CCM. umewataja wote imara wasiwekwe sasa unataka tumuweke mbowe lissu sugu au?? acha kumpangia yeye ndio Rais wewe kausha hata akimpanga ambaye hafai yeye ndio atawajibika sio wewe
  4. SICHONE

    Hatimaye Lusinde atengeneza msamiati mpya kwa kutumia jina lake mtaani

    Kudadadeki natukana...we maji marefu unawalea hawa umewachanja chale mpaka mat**oni na leo wanakutukana....teh teh teh nanukuu
  5. SICHONE

    Chaguzi ndogo

    Nimejikuta na chukia sana chaguzi ndogo maana pesa zinatumika sana ila kuna mwisho wake tu haya mambo naomba watanzania haya mambo ni bora kuyaacha tu kupinga matokeo ili iweje kama uchaguzi ume kushinda bora nenda kalime. Haya na tunangoja na mnyika sasa
Back
Top Bottom