Search results

  1. R

    Abiria tuzidishe kelele kumbe dereva anatusikia!

    Lori aina ya Bedford
  2. R

    Serikali: Fedha za Maafa ya Tetemeko Kagera zimeelekezwa kwenye Taasisi za Umma

    Lazima kutakuwa na shida mahali fulani. Wakati Ikulu ilitoa taarifa kwamba Uingereza walitoa pesa kuchangia maafa hayo, lakini Waziri Mkuu akisoma hotuba bungeni juzi alisema kwamba Uingereza waliahidi kutoa Shilingi 6 bilioni. Ipi ni kweli sasa, walitoa au waliahidi?
  3. R

    Serikali Msaidieni Mwekezaji Asifunge Kiwanda

    Wana wa Israel walitoka utumwani Misri, sisi (Tz) tunatoka ktk utumwa wa nani?
  4. R

    Muonekano wa ndege ya pili ya Air Tanzania tayari kwa kuja nyumbani

    Hii kazi unayofanya ya kuleta utetezi mwingi humu jf inaonyesha kuna walakini na hizo ndege
  5. R

    Siku Rais Magufuli alipokuwa MC wa Dr. Dau

    Rama, ukiona wenzako wananyolewa wewe tia maji kichwani.
  6. R

    Mh. Rais, bila "Polisi Jamii", majambazi na uhalifu vitaimaliza jamii ya Watanzania

    Kauli za Rais zinatisha. Sijui hali itakuwaje huko mbeleni. Ngoja tusubiri tuone.
  7. R

    Sumaye arudisha fomu ya kuwania Uenyekiti kanda ya Pwani

    Kwa taarifa yako hata walio asisi CHADEMA walitoka CCM. Hakuna jambo la ajabu hapo. Mpinzani mzuri ni yule anaye mfahamu vizuri adui yake. Sumaye anaifahamu vizuri CCM ndio maana wana hofu.
  8. R

    RPC Dodoma adai hawakuzuia mkutano wa CHADEMA, walichozuia ni bendera

    Huyu RPC lazima apandishwe cheo
  9. R

    Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    Ukweli ubaki kuwa ukweli hata kama unauma. Prof. yuko sahihi, mlaji wa mwisho (end user) ndio mlipaji wa VAT. Ktk hili tukubali kwamba watumiaji wa huduma za kibenki ndio tunabeba mzigo.
  10. R

    Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    Watu hawapendi kuambiwa ukweli.
  11. R

    Meya wa Kinondoni amjibu Rais Magufuli, hakuwa na mwaliko wa kuhudhuria uzinduzi wa Polisi

    Mh. Rais anasema maendeleo hayana chama, watendaji wake wamjibu maendeleo yana chama. Rais anakazi kwelikweli.
  12. R

    Naibu Spika awaamuru Wabunge wa Upinzani watoke haraka

    Unataka kusema kwamba waliobaki bungeni hawawezi kujenga hoja?
  13. R

    Rais Magufuli, fika huku SUA utusaidie kuondoa ukabila huu

    Malimbikizo ya mishahara SUA ni tatizo kubwa sana linalo punguza hata morali ya wahadhiri ktk kazi zao.
  14. R

    Dondoo za Bajeti 2016/2017, kujitegemea kwa asilimia zaidi ya 80

    Jamaa hajui kama mkopo nao ni msaada wenye masharti.
  15. R

    Tanzania yapokea msaada wa shilingi bilioni 116.4 kutoka Japan

    Huu ni mkopo, deni la Taifa linazidi kuongezeka.
  16. R

    Hatimaye Lowassa amtembelea Sumaye Muhimbili

    Tumefikia pabaya sana kama kuwaona wagonjwa nako tunaingiza siasa na u-chama. Nadhani Magufuli hakwenda kumwona Sumaye kwasababu yeye ni CCM bali alienda kumwona kama watu wengine walivyoenda kumwona. Ni upendo tu kwa watu wengine.
  17. R

    Kila Jumamosi Ya Mwisho Wa Mwezi Iwe Ni Siku Ya Usafi.

    Naona serikali ya Magufuli imekubali ushauri huu sasa ni rasmi usafi kufanyika kila jumamosi ya mwisho wa mwezi.
  18. R

    Kwa Makosa haya, Mussa Natty anastahili adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine

    Wewe utasalimika na sakata la hiyo wilaya yako? Ukiona mwenzako ananyolewa wewe tia maji zamu yako inakuja.
  19. R

    Waziri Kitwanga aomba taarifa za Wauza Madawa ya kulevya (unga)

    Waziri ameamua kujitwika gunia la misumari.
Back
Top Bottom