Search results

  1. B

    Ndugai: Lissu hawezi kutibiwa kwa michango, ana stahiki zake kama mbunge

    Huyu spika vipi, mbona mpaka sasa Lissu anatibiwa kwa michango ya wananchi! Hizo pesa za walipa kodi walizikatalia basi waache kuleta kauli za kukatisha tamaa ya watu kucjanga.
  2. B

    Tuendelee kumchangia Lissu tuachane na CCM

    Hata wasemeje sisi tutachanga tu.
  3. B

    Baada ya Serikali kusema ipo tayari kulipia matibabu ya Lissu; Peter Msigwa, Godbless Lema na Mbowe wakosoa kauli hiyo

    Naona ujumbe umewafikia mbashara bila chenga. Mungu andelea kumponya mzalendo wa kweli.
  4. B

    Magari ya polisi aliyokarabati Makonda yanazidi kumpa kiki

    Hii wala siyo kiki ni ishara mbaya. Walio fika Congo DR, Rwanda, Burundi na Uganda, hii ndiyo staili ya magari ya askari wao. kwa sababau ya usalama MDOGO wa nchi hizo, askari hukaa kwa mtindo wa kuelekeza mitutu kwa wananchi. Hii ni dalili mbaya.
  5. B

    Magari ya polisi aliyokarabati Makonda yanazidi kumpa kiki

    Hii wala siyo kiki ni ishara mbaya. Walio fika Congo DR, Rwanda, Burundi na Uganda, hii ndiyo staili ya magari ya askari wao. kwa sababau ya usalama MDOGO wa nchi hizo, askari hukaa kwa mtindo wa kuelekeza mitutu kwa wananchi. Hii ni dalili mbaya.
  6. B

    Hii ni Sala / Dua maalum ya WanaJF kumuombea mwanafamilia mwenzao wa JF Mh Lissu.

    Asante Mungu kwa rehema na NEEMA yako, kwa kuwa umenena kuwa ingawa wanao watapita katika bonde LA mauti, lakini uweza wako utasimama. Na I we hivyo kwa kwa mtumwa wako Lissu. Naomba Umwanadalie mafanikio makubwa mbele ya watesi wake. Amin
  7. B

    Taarifa ya pongezi kutoka CCM kwa ndg Turky kwa utu, upendo na mchango, kuokoa maisha ya Tundu Lissu

    Hivi mbona CCM munapenda kuwafanya watu wote wajinga! Yule Mzee nimeona video Yake anasema kikubwa alichofanya ni 'connection' wale wenye ndege anafanya nao biashara. Polepole anasema yule Mzee alitoa msaada wa ndege!! Siasa za kufanya watu wengine mazuzu hazina nafasi katika karne hii. CCM...
  8. B

    Nairobi, Kenya: Tundu Lissu azungumza na kula chakula kwa mara ya kwanza

    Hakika Mungu ni mwingi rehema na NEEMA. Watesi wa TAL watajificha wapi!! Mungu endelea kumponya mtumwa wako.
  9. B

    Nairobi, Kenya: Tundu Lissu azungumza na kula chakula kwa mara ya kwanza

    Hakika Mungu ni mwingi rehema na NEEMA. Watesi wa TAL watajificha wapi!! Mungu endelea kumponya mtumwa wako.
  10. B

    Lissu hawezi kuwa tishio kabisa kwa serikali ya CCM

    Maneno matupu ya kuitetea Serikali hayataiondolea lawama na tuhuma hizi. Vitendo pekee yaani kupatikana kwa wahusika wa tukio hili ndiyo kutaondoa wingu hili. Get well soon Man of the People, Lissu.
  11. B

    Rais Magufuli: Kwenye vita huwezi kuwa msaliti, halafu ukawa una-survive tu

    Amesalitiwa na nani katika mapambano Yake?
  12. B

    Thinking Deeply: Ilikuwaje Tundu Lissu akavuliwa nguo zote na kupewa dereva badala ya mke wake?

    Get well soon Lissu. Hadi Nguo zako wanazitafuta. You a real hero!
  13. B

    Who is so afraid of Tundu Lissu to shoot him?

    Unless otherwise proved by investigators, I totally agree with your analysis papa!
  14. B

    TAFAKURI: Kwanini Serikali imekataa kugharamia matibabu ya Lissu nje ya nchi?

    Madaktari si waovu, kwenye mamlaka ya kuwaamrisha madaktari kufanya chochote ndo waovu
  15. B

    Wapinzani kuweni macho na kauli ya leo ya Rais

    Hiyo ilikuwa tiktak tu ya kumuokoa Prof. Mruma, hakina cha kutumwa upande wa maadui.
  16. B

    Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

    Mungu akutee Lissu.
Back
Top Bottom