Search results

  1. babalao 2

    Zifahamu wilaya 5 za kanda ya kaskazini zinazokua kibiashara

    Zifahamu wilaya 5 kwa uwekezaji na biashara kanda ya kaskazini....Kilimanjaro, Arusha, Tanga na Manyara. 1. KARATU. Hii ipo namba 1 sababu kuu ni kiungo cha utalii kwa nchi ya Tanzania na pia ni mapito ya barabara kutoka Arusha to Mara na barabara ya Arusha To Maswa. 2. BABATI. Ni mji unaokua...
  2. babalao 2

    Viongozi bora kwa Tanzania ya kisasa

    Kwa miaka sasa watu timamu hawapigi kura kuchagua viongozi bora, ni wakati sasa tudai katiba bora itakayopelekea kupata viongozi sahihi. Huu ni wakati wa kuipaiza Tanzania kufaidika na Rasilimali zake. 1= Kilimo 2= Madini 3= Utalii 4= Uvuvi 5= Mifugo 6= Sanaa 7=Michezo. 8=Uchukuzi na...
  3. babalao 2

    Uongozi wa J. P. Magufuli 2020-2025

    Kama ilivyoada kuweka kumbukumbu sawa, ni wakati wa kuweka yaliyojiri na yatarajiwayo kujiri nchini mwetu chini ya RAIS MAGUFULI. Mosi Mheshimiwa ameshinda kwa kura milion takribani 12 na kupelekea kuapishwa kuwa Rais kwa awamu ya pili. Mpaka sasa ameshalifungua bunge ambapo Spika amerudi Job...
  4. babalao 2

    Ninaomba msaada wa kufahamishwa hili zao la hoho mbegu bora mahitaji na soko zuri n kwa wakati upi wa mwaka?

    Wakuu Natumai Mko Poa. Ninaomba msaada wa kufahamishwa hili zao la hoho mbegu bora mahitaji na soko zuri n kwa wakati upi wa mwaka? Msaada wenu wa mawazo ndyo mtaji wangu nataka nijimwage na hoho. Ahsanten Sent using Jamii Forums mobile app
  5. babalao 2

    Taharuki: Diwani wa kata ya Masama Rundugai wilaya ya Hai atekwa kwa muda

    Wakuu habarini, Katika hali isiyo ya kawaida diwani wa kata ya Rundugai wilayani Hai mkoani Kilimanjaro ndugu Elibariki Mbise (CHADEMA) ilisemekana alitekwa kwa muda wa masaa matano bila kujulikana alipo. Hali hiyo iliyozua taharuki kwa ndugu jamaa na marafiki pamoja na wapiga kura wake...
  6. babalao 2

    Eneo jipya lenye Tanzanite hapa nchini liko wapi?

    Wakuu poleni na majukumu, Nianze kwa kuipongeza serikali kwa kuweza kuipokea ndege kubwa kabisa duniani na kupelekea Kuipandisha hadhi nchi yetu. Baada ya Salamu hizo nije kwenye swali langu. Wakati Rais JP Magufuli anazindua ukuta wa Mirerani Simanjiro alitujuza kuwa kuna mahali pengine...
  7. babalao 2

    Moto umeteketeza Hostel wanapokaa baadhi ya Wanachuo wa Chuo kikuu Tumaini Makumira

    Moto ambao chanzo chake hakijajulikana asubuhi ya leo umeteketeza Hostel wanamokaa baadhi ya Wanachuo wa Chuo kikuu Tumaini Makumira. Cha kumshukuru Mungu hakuna Vifo wala Majeruhi. Ni upotevu wa baadhi ya vifaa vilivyoteketea na Moto. Hostel hiyo ya kifahari ipo Usariver eneo la Leganga na ni...
  8. babalao 2

    Nahitaji Kuwa Nje Ya Toyota!!!!

    Wakuu Heshima. Katika pitapita huku na kule ningehitaji tufahamishane Mawili matatu. Je ni gari gani za Ama Europe au America ambazo kwa Bongo ukiwa nayo huwezi jutia sababu spare zipo kana kawaida? Na je kwa Gari za Japan ni Toyota tu au kuna zingine ambazo spare si tatizo? Ama tuendelee...
  9. babalao 2

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
  10. babalao 2

    Barua ya wazi kwenda kwa Rais Magufuli

    BARUA KWENDA KWA RAIS JPM ILIYOANDIKWA NA ANSBERT NGURUMO Mheshimiwa Rais John Magufuli, sijawahi kukuandikia barua, ama ya sanduku la posta au ya mtandaoni. Leo nakuandikia kupitia gazetini kwa sababu mbili:- Kwanza, natambua kuwa wewe ni msomaji wa magazeti. Naulishanithibitishia kuwa hukosi...
  11. babalao 2

    Magari ya kubebea wanafunzi ni janga la taifa

    Wakuu poleni na Majukumu Kwanza niwapongeze kwa kuendelea kuhabarishana na kuelimishana mambo mbalimbali ulimwenguni. Hoja yangu ni juu ya hili tatizo la Usafiri kwa Wanafunzi, hasa shule binafsi ambapo ndipo hutumika zaidi magari kupeleka watoto shule. Mosi Magari ni chakavu yasiyo na sifa...
  12. babalao 2

    Kinachofanyika shinyanga na kwaya ya AIC ni ujinga tu

    Kwaya za makanisa ni mahsusi kwa ajili ya kumsifu Mungu. Je? Magufuli amegeuka kuwa Mungu mpaka afikie hatua ya kutungiwa nyimbo za sifa na kwaya ya kanisa?. Hii kwaya imetunga nyimbo kadhaa za kumsifu Magufuli mithili ya Mwenyezi Mungu ndo maana mleta hoja roho inataka kuuacha mwili.
  13. babalao 2

    Aliyopata kuyasema Nyerere

    NI wajibu wa Rais kuwafukuza viongozi wanaofanya makosa makubwa na wanaokataa kuwajibika. Ni kazi yake mwenyewe. Mtu anaweza kumsaidia Rais kumnong’oneza waziri wake kujiuzulu lakini hawezi kumsaidia kumfukuza waziri wake. Hiyo ni kazi ya Rais peke yake. Asipoifanya, kosa ni lake peke yake...
  14. babalao 2

    Magari Yasiyo Toyota

    Wakuu habarini Kwanza niwape pole na Majukumu, Naomba kujua kwa wataalamu wa Magari kuhusu Aina za Magari toka kampuni tofauti na toyota ambazo zipo miaka mingi mfano Volkswagen, Honda, Nissan, Mazda, Ford, Benz, Suzuki nk. Je magari yao ni mabovu, hayaaminiki au hayana spea hapa Tanzania...
  15. babalao 2

    King'amuzi kimegoma kufanya kazi

    Wadau habarini humu, Nna tatizo kishumbusi changu cha continental hakionyeshi channel yoyote zaidi ya star guide. Mwenye frqnce mpya kama zipo anipatie tafadhali. Ahsanteni
  16. babalao 2

    Toyota Avensis Wagon, Je ni imara?

    Wakuu habarin woote!! Naomba kwa wataalamu wa Magari je Toyota Avensis Wagon ni gari imara kwa matumizi ya hapa na pale kwa maisha yetu ya kila Siku? Mwenye uzoefu au kutumia atujuze kidogo juu ya huu mchuma. Ahsanten sana.
  17. babalao 2

    Hii Marufuku Ni Kwa Nani Hasa: Walinda Kura Ama Wangoja Matokeo?

    Pamoja na Serikali na Tume ya uchaguzi kupiga marufuku Watu kulinda kura napata wasiwasi kama wananchi wanaelewa Matamko yao. 1-- Je hawataki watu walinde kura kwa sababu zipi? 2 -- Je Marufuku hiyo inawahusu Wale Watakaorudi kusoma au kutangaziwa Matukeo pindi Yakitangazwa/ Kubandikwa...
  18. babalao 2

    CHADEMA kuja na amsha Wanawake Tanzania, jumapili hii Kawe

    Kwanza Kabisa niwatakie Waislamu Wote Mfungo mwema. Kwa Mara ya kwanza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinakuja na Mpango mpya Kabisa Wa Operesheni Itakayojulikana kwa kauli Mbiu ya "Amsha Wanawake Tanzania" Uzinduzi utakuwa katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe Jumapili ya...
  19. babalao 2

    Mwigulu Na Nape Katika Vita Ya Uongozi.

    Ndugu Wanajukwaa baada ya kmya kingi kumbe kuna Kishindo kikuu kimejificha. Vijana wawili wa ccm wamekuwa katika vita ya kujijenga kiuongozi ndani ya chama kwa muda sasa ambapo watonyaji ambao ni Makada wakongwe wamedokeza kwamba tatizo ni Ukatibu mkuu baada ya Kinana. "Unajua Wanachama...
  20. babalao 2

    Tibaijuka= Nitatetea Ubunge Wangu Sijali Ya Escrow!!

    Siku kadhaa tu baada ya rais Kikwete kumfuta kazi Anne Tibaijuka kama waziri wa ardhi,nyumba na makazi ,kiongozi huyo amewaambia wakaazi wa Jimbo lake kwamba hawakumchagua kama waziri bali kama mwakilishi wao wa bunge, kulingana na gazeti la The citizen nchini Tanzania. Tibaijuka alipigwa kalamu...
Back
Top Bottom