Search results

  1. Tume ya Katiba

    Benki ya CRDB yapunguza viwango vya riba ya mikopo na kuongeza muda wa marejesho kwa watumishi

    Hiyo riba ya 17% ni kwa mwaka au nusu mwaka?..... hapo kwenye hizo %ndio watu wanapokuja kujutia...calculation za riba kama unalipa kwa mwaka ni tofauti na miaka 2,3,4...sikwambii hiyo miaka 7.
  2. Tume ya Katiba

    Trump: ‘I never said when attack on Syria would take place’

    Nilishangaa sana eti Rais anajibizana na balozi? Busara na hekima za Putin huenda zikaokoa roho za maelfu ya watu wasio na hatia.
  3. Tume ya Katiba

    Trump: ‘I never said when attack on Syria would take place’

    US President Donald Trump has taken to Twitter to clarify that he never specified when the US would conduct an attack on Syria. “Never said when an attack on Syria would take place,” Trump wrote on Thursday. “Could be very soon or not so soon at all!” Trump also credited his administration with...
  4. Tume ya Katiba

    Kumekucha: Je, Marekani inajiandaa kuiadhibu kijeshi Syria?!

    Vita usikie tu lakini, wanaoathiriwa ni raia masikini wasio na hatia .. Any US missiles fired at Syria will be shot down, launch sites targeted – Russian envoy to Lebanon Any US missiles fired at Syria will be shot down, launch sites targeted – Russian envoy to Lebanon
  5. Tume ya Katiba

    Juma Dogan: Kada wa CCM 'aliyemwokota' Abdul Nondo Mafinga na kumpa nauli ya taxi aende kuripoti Polisi kupatikana kwake

    Juma dogan(Msamaria mwema), Abdul Nondo(Mtekwaji) na Kumbusho downson(Rafiki wa Msamaria mwema na Mtekwaji) ni wamoja, kimsingi wameigiza pamoja katika nafasi tofauti tofauti.
  6. Tume ya Katiba

    Rais Magufuli: Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu. Atakayeleta vurugu atashughulikiwa bila huruma!

    Sugu ana bahati sana... hii inaitwa warning shot.....atakayefuata lazime apigwe KO...i.e zaidi ya miezi 6.
  7. Tume ya Katiba

    Msaada juu ya Toyota Raum yangu

    mkuu na mimi nina raum new model, hilo tatizo hunitokea pindi maji yakiingia ndani ya milango, sensor inashindwa kusoma, nilipogungua hivyo nakuwa makini ninapoipeleka kuoshwa nahakikisha milango imefungwa vizuri anapotumia ile mashine ya pressure. pia, kipindi cha mvua kufungua ile milango...
  8. Tume ya Katiba

    Kufilisika kwa mabenki Tanzania: Ni kukua au kuanguka kwa uchumi?

    Yericko mpotoshaji mkuu, sio kweli kwamba wenye peza zaidi ya 1.5M hawatalipwa bali utaratibu wao wa malipo ni tofauti na wale wenye akiba 1.5M au chininya hapo.
  9. Tume ya Katiba

    Mauaji, utekagi nyara na utekaji sio utamaduni wetu

    Nitarudi kukujibu kwa ufasaha, ila niseme tu kuwa huna hekima na heshima kwa wakubwa na watawala. JPM alichaguliwa na Wananchi sio CCM kama unavyotaka kuaminisha watu, kama wananchi wangemtaka EL wangempigia kura. Kwa sasa JPM anasafisha nchi iliyokuwa na makorokoro mengi. Mengi uloyoyasema ni...
  10. Tume ya Katiba

    Mahiga asema Tanzania haitambui Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, baada ya Ndugai kunukuliwa akisema anautambua

    Mnamlaumu bure Ndugai, mwenzenu alidhani issue ile ni sawa na Serikali kuhamia Dodoma
  11. Tume ya Katiba

    Mambosasa: Kilichopelekea mwanafunzi wa UDSM akamatwe ni kusambaza uzushi mtandaoni

    Unafaidika nini mkuu kuzoom picha ili ionekane kama kuna crack kuubwa? hili ni suala la kitaalamu waacheni mainjinia watupe majibu ya kitaalam.
  12. Tume ya Katiba

    Mambosasa: Kilichopelekea mwanafunzi wa UDSM akamatwe ni kusambaza uzushi mtandaoni

    Ukiweka chuki binafsi pembeni, Mambosasa yupo sahihi kwa kiasi fulani, nini lengo la yule kijana kupost picha Facebook wakati kama kiongozi wa DARUSO alikuwa na nafasi ya kufikisha suala kwenye uongozi wa wanafunzi na kisha uongozi wa chuo? kimsingi lengo lake lilikuwa kuzua hofu na taharuki...
  13. Tume ya Katiba

    Swali chochezi: Nani alipaswa kutoa taarifa za nyufa za JPM Hostels?

    Nakubaliana na wewe dogo ni mchochezi, na amechochea jengo la ghorofa.
  14. Tume ya Katiba

    Nimeagizwa dar jamaa anibadilikia baada ya kumfanisha kuwa nishawahi kumuona KATORO GEITA

    Ushirombo, runzewe mashariki na magharibi, uyovu, ng'anzo, katente, igulwa, buntubili.......dah umenikumbusha long sana
Back
Top Bottom