Search results

  1. Kijana leo

    Nini maana ya mwambata wa Jeshi?

    majibu safi hayo hapo juu, pia mara nyingi uwa mtu wa usalama pia.
  2. Kijana leo

    Kwaheri "viroba", buriani "viroba", mbele yako,nyuma yetu.Tutakukumbuka sana

    kwa hili la viroba aisee watatukamata wengi, ila uzuri tumekuja na plan B ya kuvinywa hatutafyonza bali tuta....... watashangaa tunayumba tu, sifa ni kulewa sio kunywa, bia moja sawa na viroba 4 lazima vienziwe.
  3. Kijana leo

    Bodi ya Mikopo (HESLB) imeanza rasmi kukata 15% kwenye mshahara

    hapa kazi tu, ni makato bado vicoba, na taasisi nyingine
  4. Kijana leo

    Ina maana hata kukiss hujui?

    pole sana, ungeenda kuwekewa P.O.P la lipsi mbona hatare, aya endelea kujifunza kwa wengine.
  5. Kijana leo

    Sio lazima awe wako

    mimi uwa sipendagi ujinga, ndio maana nawapenda wanawake wa bar sio wa kwako ni wa mteja wa wakati huo.
  6. Kijana leo

    Ina maana hata kukiss hujui?

    nimezungumzia hiyo muvi, (kwa wazungu) sina demu wa kizungu, ila ninaye mwarabu.
  7. Kijana leo

    Kumbe kuzaa na ndugu yako si dhambi, ushaidi huu kutoka katika Biblia

    biblia imatafsiri nyingi, muombe Mungu uisome uielewe kiundani si juu kwa juu, ila mimi uwa nakipenda kile cha mpeni maskini kileo hakasahau shida zake, kwenye kiingereza inasema vizuri sana, nashangaa wanataka kufungia viroba wakati ni hard drinks.
  8. Kijana leo

    Ina maana hata kukiss hujui?

    kuna movie inaitwa addicted nimetoka kuiangalia punde, jamaa wanjua kukiss hadi mtazamaji una feel something, wako vizuri, sasa kutana na mbongo hilo domo anavyokupa, wakati wenzao wanacheza na lips. kisses za kibongo ni kero bora ugegede tu mbele kwa mbele.
  9. Kijana leo

    Upatikanaji wanawake bikra Tanzania

    bikra siku hizi kuipata ni sawasawa na kuokota pesa buku 10 kipindi hiki.
  10. Kijana leo

    Kwa staili hii mimi naoa kwa haraka sana nishachoka chips mayai

    wewe bado tu unatoa pesa? mi mwenzio nazizoa maku kwa reki, tumia mbinu, ndio maana mimi sioi mapema, hiyo pesa ya mahali bora nikaweke heshima Bar.
  11. Kijana leo

    Kina baba wanene na tabia za kutongoza vibinti vidogo

    mwenye ile clip ya shekhe kipozeo anisaidie, maana yeye nafsi yake inapenda wale wenye nyama za allah, kila mtu na chake hapo ndio kipenda roho inapotokea. ila mimi penda sana ma housing makubwa shuntu lake la maana, wembamba peleka huko kwenye mamiss na models.
  12. Kijana leo

    Kupasuka mpira wakati wa tendo nini husababisha?

    ouga, ila usipende sana hiyo mipoira, mimi uwa situmiagi ina harufu, kitu ni nyama kwa nyama.
  13. Kijana leo

    Mzee wa Upako: Sinywi pombe, ila nakunywa wine

    kunywa pombe kuokoa maji. hamna kitu rahaaa kama gambe hasa ya baridiiiiiiiiiii...
  14. Kijana leo

    Jeshi Letu La Wananchi kamandi ya Anga

    nahisi hapo kwa igram, kwa sasa ni meja Gen, si Brig Gen. aya asante.
  15. Kijana leo

    Drugs issuez zisituhfnye tikawa kama blowers kwani tumesahau/Mnamkumbuka Mzee waLoliondo

    hiko kitu uwa wanasema sana, hata kama ni tasnia ya ukachero kuwa kutupoteza katika masuala ya msingi, ila angalia namna anachoandika, angekuwa anataka kuweka jambo sawa angefunguka ni namna gani jambo hili linaleta ukakasi. na sidhani mtu kama huyo na uandishi wake anaweza kuwa kachero.
  16. Kijana leo

    Audio: Kesi za Matumizi Kinyume na Maumbile zimekuwa nyingi hasa Zanzibar/Pwani

    hatare sana shekhe, maana hamna namna, na walivyokuwa mande.zi nao wanatoa zero watu wanazungusha halafu wanaendelea kuchana tu makaratasi. Mungu atusaidie sana.
  17. Kijana leo

    Drugs issuez zisituhfnye tikawa kama blowers kwani tumesahau/Mnamkumbuka Mzee waLoliondo

    kweli kazi tunayo, wacha tu tupelekwe maana hamna namna, kwa vichwa kama vyako tutegemee nini katika jamii kama sio majanga?
  18. Kijana leo

    Hongera Rais Magufuli kwa kurudisha nidhamu kwa watumishi wa umma

    aya najua tarehe zinakalibia hizi, usijali amekusikia.
  19. Kijana leo

    Dar: Wanafunzi 4 wa Chuo Kikuu cha Kampala kortini kwa kumkashifu Rais Magufuli kupitia WhatsApp

    ambaye amechoka kufikiri, uamini anajua sana by fid Q
  20. Kijana leo

    Aolewe au aendelee kuwa single at 40?

    afanye maamuzi mwenyewe miaka 40? hana mtoto wala mume? akifika 45 injini itaisha nguvu, kuna watoto wa 20 wanakuja speed hao, na ukifanya mchezo ndio basi tena.
Back
Top Bottom