Search results

  1. Catch-22

    Kusomesha na kufundisha nani yu sahihi?

    Binafsi, ninatumia kufundisha na kusomesha kama walivyoeleza wataalamu wa Kiswahili wa huko TBC. Nikirudi kwenye suali lako sasa, ninakumbuka kusema "leo tumesomeshwa uadilifu" kwa mfano, nilipokuwa shule ya msingi na sekondari yake, sikuwa nikitumia nimejifunza. Kwa ufahamu wangu, kujifunza...
  2. Catch-22

    Hoja: Kiapo cha Bunge Kinahitaji mabadiliko.

    Mungu atolewe kwenye kiapo. Hahusiki kwenye shughuli za serikali na wala kwenye uwajibikaji wa mbunge
  3. Catch-22

    Madudu na uoza katika Serikali ya Zanzibar

    Mkuu wa Kamati katisha.....kawataja live Mama Fatma Karume, Amina Aman Karume na Mansour Yussuf Himid Way to go
  4. Catch-22

    Arumeru - Watu watano wauwawa kinyama!

    Watanzania kwa nini hatuheshimu waliokufa? Si adabu hata kidogo kiwasasambua hizi
  5. Catch-22

    Mtetezi wa Haki (James Wandera)

    Sawa...
  6. Catch-22

    Mtetezi wa Haki (James Wandera)

    Alaa?!
  7. Catch-22

    Mtetezi wa Haki (James Wandera)

    Salama sana....tupo tunatetea haki kwa kukalia mifuko ya simenti kidogo
  8. Catch-22

    Mtetezi wa Haki (James Wandera)

    Huo mto au mfuko wa simenti? :disapointed:
  9. Catch-22

    Sasa ninaamini ya kuwa ni kweli mlandizi husahau lakini mtupa maganda..........

    Huu msemo au sijui niite methali, Bwana Ruta. nimewahi kuwasikia wahenga wakiutumia kwa kurejela wahusika wawili tu, "Mla ndizi [mtupa maganda] na mtupiwa maganda" Au huu msemo wa leo wewe ndio "original source"? *Tupo katika kuelimishana lugha ya taifa tu
  10. Catch-22

    Tofauti Kati ya Mwanangu na Binti Yangu

    Mwana linamaana ya mtoto, haijalishi kama ni wa kiume au wa kike. Kamusi la Kiswahili linaainisha hivyo. Kimsingi mwana linahistoria ndefu ya kutumika kwenye majina ya watoto wa kike kama Mwanaasha, Mwanamtama,Mwanakheri,Mwanaidi, Mwantatu, na kadhalika na kadhalika
  11. Catch-22

    Sasa ninaamini ya kuwa ni kweli mlandizi husahau lakini mtupa maganda..........

    Mtu anaekula ndizi ndie huwa na maganda ambayo anaweza kuyatupa. Kwa hiyo mla ndizi ndo mtupa maganda. Huyu husahau kuwa alikula na kutupa maganda. Anaetupiwa maganda ndie hasahau kwa sababu ganda hilo alilotupiwa huenda limemkwaza kwa kumtofoa jicho na kumpa chongo, kwa kuvunjika mguu baada ya...
  12. Catch-22

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Huo ubongo au pudding hadi kutikisika wenyewe!
  13. Catch-22

    Sasa ninaamini ya kuwa ni kweli mlandizi husahau lakini mtupa maganda..........

    Si "mtupa maganda" bali "mtupiwa maganda" Kimantiki mla ndizi na mtupa maganda ni huyo huyo mmoja
  14. Catch-22

    Tofauti Kati ya Mwanangu na Binti Yangu

    Alokufundisha kuwa neno mwana linamaana ya mtoto wa kiume amekupotosha
  15. Catch-22

    What Do You Know About Jack Daniels?

    Side effects ni pamoja na :- 1. Kushindwa kujitambua iwapo utalewa kupindukia 2. Madhara kwa ini iwapo utakunywa kwa kiwango kikubwa kwa kipindi cha muda mrefu
  16. Catch-22

    Kikao cha bunge leo wabunge ni wachache mno

    Bunge la Tanzania ni ovyo kabisa
  17. Catch-22

    Mtikisiko wa Ubongo-Brain Concussion,

    Kuna matukio mengi mno ya watu kufa kwa concussion.
Back
Top Bottom