Viwanja vitatu vipo pamoja vinauzwa Mkundi - Morogoro.
Vilipo: Unaingilia Shule ya Green City ni kama 2KM. Kutoka Mjini mpaka ilipo Green City ni kama 10KM. Kwa hiyo ni kama 12KM kutokea mjini, ukiwa unaelekea Dodoma. Hilo eneo linajulikana kama Nguvu Kazi. Baadhi ya Majirani wameshajenga...
Habari za waungwana.
Pamoja na kuwa kuna msemo kuwa samaki mmoja akioza basi wote wameoza, inaweza ikawa tofauti.
Naomba kuuliza je, kuna wakati umekutana na afisa/askari wa polisi akakutendea kwa utu, heshima na huruma?
Kuna mifano mingi, ikiwemo kuwapa chakula mahabusu ambao huwa hawajaletwa...
Habari wanajukwaa
Kwa wale ambao wamewahi kusoma SUA, Mzumbe na vyuo jirani vya Morogoro sana sana miaka ya kuanzia 2000 na kama umekuwa mfuatiliaji wa mambo ya kiroho basi kwa namna moja ama nyingine unaweza kuwa umewahi kukutana au kumsikia huyu Mchungaji. Alikuwa ana kanisa pale keepleft ya...
Habari za usiku.
Huu wimbo wa Vitalis Maembe umenichekesha baadae ukanifikirisha sana.
Kaisari tumempa chake na vyetu anachukua...
Huyu kijana ni hazina sana, mashairi yake yanafikirisha zaidi yanabiridisha
Habari za leo waungwana.
Naomba kuuliza, mtu akiwa na mtaji wa DKK 150,000 anaweza kufanya biashara gani katika jiji la Copenhagen au katika miji ya pembeni katika nchi ya Denmark?
Asante
Habari waungwana
Naomba msaada kwa mtu aliyewahi kutumia Prado yenye engine 5VZ na 3RZ kwa safari za mbali kama Dar kwenda Mwanza/Kyela/Mpanda
Ipi ni nzuri na kwa nini?
Asante
Habari wakuu,
Kila nikifikiria hili swala la watumishi hewa huwa sipati majibu labda waungwana mtanisaidia.
Mshahara hewa, nafikiri kama ilivyo mishahara mingine, hupitia makato yote kama PAYE, hifadhi ya jamii (PSPF, NSSF n.k), Bima ya Afya, Vyama vya wafanyakazi, na mengineyo kulingana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.