Search results

  1. M

    Kiashiria kingine cha uhusika wa serikali mateso ya dk ulimboka

    Leo viongozi waandamizi wa chadema Dr Slaa,Mnyika,Mbowe na Lema wametangaza kufuatiliwa kwa madhumuni ya kuuwawa na wanaoamiwa kuwa ni usalama wa Taifa kwa madai wako nyuma ya mgomo wa madaktari.Kama wameweza kwa viongozi hawa basi ni dhahiri serikali ilitumia mbinu hii hii kumwondosha duniani...
  2. M

    Mh:mnyika fanya hili kabla ya kuwasilisha ushahidi bungeni

    Mh: Kwanza nakufagilia kwa msimamo na uwezo wako. Myika nakushauri kabla ya kuwasilisha ushahidi wa uhusika wa Nchemba kwenye kashfa ya EPA,kwanza mwambie spika aruhusu ushahidi uliowasilishwa na LEMA kuhusu vurugu za Arusha usomwe na ujadiliwe kwanza bungeni.
  3. M

    CHADEMA yavunjavunja ngome ya CCM Same

    M4C Haizuiliki hata wakiomba wanajeshi marekani! CDM watafute kijana anayekubalika achukue hilo jimbo kilainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Kweli CDM imeanza kwa kuajiri vijana!
  4. M

    Chonde chonde ccm!!!

    Ama kweli kama kuna mizoga ambayo hata fisi hawezi kunusa harufu ni huyu(HINGI) aliyengwa hela za ufisadi kutetea ufusadi.Naamini anachoongea kinatoka mdomoni si moyoni. POLE MZOGA
  5. M

    KAMATI KUU CCM yawafunga midomo KAMATI KUU CDM

    Huyu jamaa janga lingine la Taifa baada ya Umaskini,Ujinga na Maradhi.
  6. M

    Kwa dalili hizi, Mnyika kapoteza jimbo la Ubungo

    Hata Tundu Lissu walianza kuzungumza hivi yakawatokea puani!
  7. M

    Mh. Mbassa (CHADEMA) ashinda kesi jimbo la Biharamulo Magharibi

    Mungu Mkuu dhambi ya kumpora ubunge Lema itawatafuna mpaka familia zao
  8. M

    Wilaya za Mwanga na Same zimekamilika?

    Inawezekana wakakombolewa kwani hata Igunga ilikuwa ngome ya Magamba lakini kama si uchakachuaji ilikuwa tuokomboe kwenye uchaguzi mdogo. Mie si mgeni wa maeneo hayo kinachotakiwa CDM wapitishe jina la mtu anayekubalika na watu na wawe na mpango wa muda mrefu wa kufungua matawi na kuimarisha...
  9. M

    Hainiingii kichwani serikali kusema inakabiliwa na ukata!

    Inabidi tupate maombi tubadilike tufanye maamuzi na mabadiliko ya dhati.
  10. M

    Du!siasa za nchi hii! Kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!

    Wanafikiri watanzania ni vilaza kiasi cha kushindwa kutunza kumbukumbu na kuchanganua mambo!
  11. M

    Je ni halali waziri huyu kumtupia zigo hili waziri mkuu kwa dhambi yake mwenyewe!

    Waziri wa Ujenzi Ndugu John Pombe Magufuli akihojiwa na waandishi kuhusu kutumia siasa chafu za kibaguzi kwenye kampeni mbalimbali kukibeba CCM alikwepa kujibu hoja ya dhambi yake na kumsukumia waziri mkuu Mizengo Pinda baada ya waziri mkuu kuulizwa kwenye maswali ya hapo kwa papo bungeni...
  12. M

    Mkutano mkubwa wa CHADEMA Dodoma

    Wasisahau kuweka projector kuonyesha DVD ya Lusinde alivyolusinde Arusha-arumeru
  13. M

    Kwanini mawaziri wasimame kama mawaziri kampeni za CCM?

    Atakampeni kama mbunge na wala si kama waziri.
  14. M

    CHADEMA inaangalia uwezo na uadilifu; maoni binafsi yasichukuliwe kuwa ni msimamo wa CHADEMA

    Cdm chama makini. Mnyika uwezo wake sawa na wabunge 100 wa Magamba
  15. M

    Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

    Magamba wana ,mapepo ukitaja Mungu wanaweweseka na kuanguka
  16. M

    Nmeipenda sana kauli ya kiongozi huyu wa dini

    Sorry typing error ni BABA ASKOFU. Typing error mkuu
  17. M

    Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

    Magamba yana mapepo hivyo kila CDM wanapotaja Mungu wanaweweseka na kuanguka so kwao ni habari mbaya sana.
  18. M

    Nmeipenda sana kauli ya kiongozi huyu wa dini

    Katika maadhimisho ya Ijumaa kuu Askofu Mkuu kanisa Katholiki Jimbo la Arusha Josephat Lebulu alisema"...Matumizi ya mabavu ambayo hufanya makundi ya watu kukaa kwa siri na kupanga mbinu za kumwangamiza mtu asiye na hatia na wakati mwingine hata kuhonga mahakama zipotoshe hukumu dhidi ya...
  19. M

    CCM hawakamatiki wala Hawashikiki

    Ni afadhali gunia la chawa kuliko mwendawazimu na punguani kama huyu
Back
Top Bottom