Search results

  1. S

    Hivi kesi ya Mpendazoe imefikia wapi?

    Unaposubiri Update ya Kesi ya Mpendazoe SI VIBAYA UKASOMA HABARI KUHUSU KESI INAYOENDELEA MAHAMA KANDA YA SUMBAWANGA Hukumu ya kesi kupinga ubunge Sumbawanga mjini Kesi ya uchaguzi ya kupinga kutangazwa kwa ndg Aeshi Hiraly CCM kuwa mbunge wa Sumbawanga mjini leo mashahidi wa pande zote mbili...
  2. S

    Kesi ya Tundu Lissu live toka Singida

    Hukumu ya kesi kupinga ubunge Sumbawanga mjini Kesi ya uchaguzi ya kupinga kutangazwa kwa ndg Aeshi Hiraly CCM kuwa mbunge wa Sumbawanga mjini leo mashahidi wa pande zote mbili wamehitimisha kutoa ushahidi wao mbele ya jaji wa mahakama kuu mh Jaji`Bethuel Mpakani Kasefu Mmilla “J.4”(Judge...
  3. S

    Kesi ya Lissu: CCM wakodi shahidi toka Dar es salaam

    HUKU SUMBAWANGA NAKO KESI IPO HIVI: Mlalamikaji Ndugu NORBERT YAMSEBO - CHADEMA Mlalamikiwa Ndugu Aeshi Hilali - CCM (Mbunge) Mlalamikaji aliwaleta mashahidi 19 Mahakamani. Na mlalamikiwa alileta Mashahidi wanne kumtete. TUHUMA: 1. Shahidi aliieleza Mahakama Jinsi Mlalamikiwa alivyotoa...
  4. S

    Hukumu ya kesi kupinga ubunge Sumbawanga mjini

    Big Big up brother. SWALI LA MWISHO position yetu namna gani? Namaanisha position ya YAMSEBO katika KESI ikoje?
  5. S

    Hukumu ya kesi kupinga ubunge Sumbawanga mjini

    Ndugu zangu wana Sumbawanga, Hii kesi haijaripotiwa katika chombo chochote cha habari TUNATAKIWA KUTIA BIDII kuiripoti ili iende Hewani yakutosha inaweza kusaidia tusichakachuliwe. Jamaa yangu anayo Submission ya Upande wa mlalamikaji ndugu Yamsebo, nitaiweka hewani, walau sehemu muhimu ili...
Back
Top Bottom