Search results

  1. M

    Online dating imejibu!!!!!Maisha yanaendelea(IMANI YENYE MATENDO)

    its possible,mie wangu nilimpata facebook tumewasiliana for 2 years akarudi Tz ni mtanzania actually tukaendelea na sasa tupo kwenye vikao vya harusi tarehe 7th December harusi yetu na tunapendana sana.Na pi my friend alikutana na mtu hapa Jf na sasa ni mume na mke tayari.
  2. M

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Mpaka hapo Juliana unatudhirishia kuwa huna sifa za kuwa kiongozi,hufai unatafuta maslai yako binafsi.huna maadili ya kuwa kiongozi.
  3. M

    Wanawake wenye sura ya aina hii hawajiamini……!

    Mtambuzi upo sahihi kabisa mimi mtu wangu mmoja wa karibu ana sura ya hivyo na hizo tabia zote ulizosema kweli anazo zote,big up
  4. M

    Dhana ya mapenzi na mitandao ya kijamii.

    Naamini mpenz anapatikana sehemu yoyote iwe kanisani ,mtandaoni,msikitini,kazini ,chuo etc ni vile kujitambua wewe mwenyewe nini unataka na kuwa makini,nina rafiki yangu wa kike alikutana na mwanaume fb na hawakuwa wanajuana yule mwanaume alikuwa anakaa nje ya tz,walianza kuchat kama marafiki...
  5. M

    naogopa sana,..naomba msaada wakuu

    usijilazimishe kwa sababu ya kumridhisha mtu hata kama unampenda vuta subira ikifika muda muafaka wala hautakaa uombe ushauri utajikuta mwenyewe unataka mfunge ndoa.
Back
Top Bottom