Search results

  1. D

    Ushauri mbalimbali kuhusu masuala ya ujenzi

    Lengo ni kupata milango imara na kwa gharama nafuu. Nipo Dar.
  2. D

    Ushauri mbalimbali kuhusu masuala ya ujenzi

    Katika sekta ya ujenzi kuna teknolojia za kisasa zenye ubora na bei nafuu. Ningependa kujua toka kwenu wadau ambao wako sekta ya ujenzi au waliojenga hivi karibuni kuhusu aina ya milango ambayo inayoweza kutumika kwenye nyumba za kuishi (residential house). Wapi ninaweza kupata milango mizuri...
  3. D

    Kuhamisha namba za simu toka Blackberry kwenda Samsung Galaxy S

    Nataka kuhamisha namba za simu toka Blackberry Storm II kwenda Samsung Galaxy S. Nitashukuru kupata ushauri wa namna ya kufanikisha zoezi hili.
  4. D

    Msaada Samsung Galaxy S III na Duos

    Nashukuru NingaR! Nimefanikiwa! Ubarikiwe!
  5. D

    Msaada Samsung Galaxy S III na Duos

    Mimi na jamaa yangu wa karibu tumenunua simu za aina ya Samsung Galaxy S III na Galaxy S Duos. Galaxy SIII imewekwa chip ya Vodacom na Du os chip ya Tigo. Wadau ninaomba namna ya ku-configure ili tuweze kupata huduma ya Internet kupitia simu hizi. Ahsanteni.
  6. D

    Culmination of Political Animosity: Mauaji ya wanasiasa/mwanasiasa mashuhuri... twaweza kuepuka?

    Una-refer mauaji ya Singida jana au tishio la mauaji wa viongozi wa CHADEMA?
  7. D

    Hawa startime wametuhadaa jamani

    Hivi ni channel gani inaonyesha mpira? ATN kwangu inaonyesha "No Service".
  8. D

    Najitoa mhanga, najenga Kigamboni liwalo na liwe!

    Naona Mbunge ametoa update. Mkutano kufanyika Uwanja Wa Swala, Tuamoyo na sio Machava kama awali.
  9. D

    Najitoa mhanga, najenga Kigamboni liwalo na liwe!

    Mbunge wa Kigamboni ameitisha mkutano wa wananchi kuhusu Mji Mpya wa Kigamboni leo Jumapili saa tisa mchana kwenye uwanja Wa Machava. Ni vizuri ukashiriki ili kujua nini kinaendelea.
  10. D

    Breaking News: Dr. Richard Lyimo Hatunaye tena!

    RIP Daktari! Go thee well
  11. D

    Msaada kuhusu MacBook unahitajika

    Nashukuru Pasco! MacBook ni genuine na wala haina shaka yoyote. Nitaenda huko.
  12. D

    Msaada kuhusu MacBook unahitajika

    MacBook sijaitumia kwa muda mrefu sasa. Majuzi niliicharge na kujaribu kuiwasha bila mafanikio. Je tuna authorized dealer wa Apple ambaye niwaweza kumpelekea ku-troubleshoot? Nitashukuru kwa msaada.
  13. D

    Wisconsin Wife, 80, Lands Plane for Dying Pilot Husband

    Unbelieavable! Amazing story!
  14. D

    Wabunge wa CCM ambao hawakushinda kihalali

    Kama walishinda mbona hawakwenda mahakamani? Tuacheni ushabiki wa kujaza posts zisizo na tija. Walioshindwa wasubiri uchaguzi ujao.
  15. D

    Sasa wachota kwa Magufuli - Dola yachunguza utata wa bilioni 10/-

    Hatimaye upande mwingine wa Magufuli umeanza kujulikana
  16. D

    Magufuli hana tofauti na wanaCCM wengine

    Ama kweli usilolijua ni kama usiku wa giza.
  17. D

    RIP John Ngahyoma

    Rest In Peace. Umetutangulia nasi tupo njiani.
  18. D

    Msaada wa matengenezo ya modem

    Masada kwenye tufa tafadhali
  19. D

    Msaada wa matengenezo ya modem

    Duh! Nashukuru kwa ushauri
  20. D

    Msaada wa matengenezo ya modem

    Nitashukuru kwa ushauri wowote ule
Back
Top Bottom