Nashangaa kama kuna watu hawajui kutenganisha IMANI na MAISHA YA KAWAIDA mpaka sasa. kwani masuala ya vyakula ni ya kimwili zaidi na si ya kiroho. SHETANI AMESHAWAVYAMIA NANYI MUMEANZA KUMWABUDU KWA KUTHAMINI MAMBO YA KIMWILI KULIKO YALE YA KIROHO.
Ingekuwa guest house tungejipa matumaini labda itaamka na kutoka. lakini nijuavyo mimi serikali ilishazikwa na Mwl Nyerere, labda tusubiri kupata nyingine akija kwa mara nyingiiiiiiiiiiiiiiiiine!!!
Hivi wapendwa hamjui kuwa chuo wasichana wengi hupata degree zisizo zao kwa kufanyiwa assignment!!!! Na huwa nao wa aina tatu 1. wa madesa {masomo} 2. wa cafeteria{ yaani masuala ya mapolokochoko manjale-misosi} 3. wa ukwelikwa hiyo jitathimini wewe uko wapi?
hv hizo habari zingatangazwa au mpaka uwe na ndugu huko kwa jeshi ndio utazipata? kwa wale wanaotaka kujiunga nafasi zinatoka lini au no news? Tupeane taarifa basi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.