Habari wakuu!
Nahitaji mbwa aina ya german shepherd, kwa ajili ya kufuga na ulinzi. Sifa awe ameacha kunyonya na ningependelea awe mix ya hawa wa kwetu na pure german shepherd.
Habari kwenu!
Iko hivi " To every beautiful woman you see, there is a man tired of f***n her".
Binafsi nimeishuhudia kwamba zile feelings unazokuwa nazo mwanzoni wa mahusiano au pindi unapomfuatilia binti, huisha au kupungua sana baada ya kuwa nae kwa muda na hasa pale unapopewa tunda a.k.a...
Kwanza hizo data lazima ziwe column 2, mfano ya kwanza iwe "name" na ya pili iwe "count".
Kuna njia mbili sasa :-
1. Kutumia formula
2 . Kutumia PivotTable
Habari wakuu,
Nina mpenzi wa karibu miaka 10, anaishi mkoani na tuna mtoto mmoja. Shida yake ni kiburi, haonyeshi kuwapenda ndugu zangu kwa sababu ambazo anazielewa yeye.
Nimebahatika kufahamiana na binti mwingine kwa zaidi ya mwaka sasa, na anaonekana ana heshima na msikivu. Shida yake ni...
"Ready to Die" ni zaidi ya album. Hata mpangilio wa nyimbo ni kama hadithi, yani from ghetto life and hustles, to fame and riches, to struggle that come there after. Unasikiliza nyimbo zote bila kuchoka. Ni moja ya album bora za hip hop!
Hivi vita ulivyovitaja hapo juu naweza sema vinafanana hasa ukiangalia sababu za kuanza kwake na matokeo yake baada ya kuisha yani kushindwa kwa mataifa hayo makubwa.
Kwanza tuanze na kusema kuwa baada ya vita vya pili vya dunia, U.S na U.S.S.R waliibuka washindi na hivyo kupelekea kuwa...
Katika Hip hop ya Tanzania, P funk amefanya kazi nyingi ambazo baadhi ya my all-time favourites ni hizi :
1. Nje Ndani - Gangwe Mob (P Funk )
2. Hili Game - Juma Nature ( P Funk)
3. Nini mnataka - Piggy Black ( P Funk)
4. Kama unataka demu - Jay Moe ( P Funk)
5. Bongo Dar es salaam - Prof J ( P...
Mkuu umeongea mambo mengi japo umeanza kwa maswali lakini mwisho umekuja na conclusions zako. Kifupi ni kwamba dunia imebadilika sana, kwenye nyanja zote hasa uchumi. Nchi kubwa miaka 50 au hata 20 iliyopita kiuchumi sio kubwa tena ama kwa maelezo zaidi nchi nyingi za magharibi hasa US uchumi...
Mkuu kwanza inabidi uelewe kuwa warusi ni multi-ethnic society lakini jamii(race) ya slavic ndio inayotawala na kushika nafasi muhimu zote katika uongozi wa nchi. Hii inatokana na jiografia ya nchi yenyewe upande moja upo ulaya na mwingine upo asia. Hii ni historia ndefu ambayo ipo hata kabla ya...
Ndoa tumepanga kufungia hapa Tz. Mara zote akiwa anakuja huku kunitemebelea hutumia temporary passport sasa ndio nimeamua bora kuwa na ile permanent kuliko usumbufu wa kurenew kila mwaka na pia hata siku ikitokea safari ya mbali zaidi iwe rahisi. Swali ni kwamba akiwa na passport ya kwao na...
Habari wadau!
Natarajia kufunga ndoa mwakani na binti ambaye ni raia ya nchi jirani. Pia nitaka awe na passport(hati ya kusafiria) ya nchi yake.
Sasa ningependa atafute hiyo passport baada ya ndoa ili tayari majina atakayotumia liwe na surname yangu inclusive.
Sasa naomba ushauri kama hilo...
Habari wadau,
Nahitaji kufahamu sehemu naweza kununua incubator kwa ajili ya shughuli zangu za ujasiriamali inayoweza kuchukua mayai 200 au zaidi.
Kwa mwenye kufahamu na bei pia itasaidia. Nipo dar
Natanguliza shukrani!
Gharama za kutengeza website hutofautiana kutokana na mahitaji ya mteja. Tembelea wavuti wetu Portfolio | Wazoefu kuona baadhi ya kazi tulizowahi kufanya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.