Search results

  1. dikembe

    Namaste...

    Wazee wenzangu mpooo ?? Mr. Rocky miss chagga
  2. dikembe

    Kauli za rais wa Tanzania na mtetezi wa wanyonge Dkt. Magufuli leo mkoa wa Manyara

    MI naona swala la UKUTA awaachie UKAWA. Kumlinda binaadam kunahitaji akili sio nguvu
  3. dikembe

    Dodoma: Waziri Mkuu aungana na Rais Magufuli kumuombea Tundu Lissu

    Sijui aliyehusika anajisikiaje huko alipo? Mungu atamwadhibu kwa dhambi hii
  4. dikembe

    Nina maumivu sana jamani, nahitaji msaada wenu

    Mpe muda azowee pesa kwanza. Pesa Zina utamu kama ushamba wa kuja mjini. Akizowea atakurudia na kukuletea card za AM SORRY BABY na maua. Pole sana mkuu
  5. dikembe

    Ushauri tafadhali; Mpenzi amebadilika na nashindwa kumuacha

    More problems Haya Matatizo yanasumbua sana akili, mkuu hauko peke yako. wako wahanga wengi sana na wachache hufanikiwa wanapokubaliana na matokeo kwamba "Nguo ikizeeka huwa dekio". Mwache sio kwa kutafuta mbadala wake, mwache kwa makosa yake na kufanya jambo lingine tofauti na mapenzi kwa...
  6. dikembe

    Condom inasaidia wakuu

    Labda group la whatsapp...
  7. dikembe

    Tutailipa ACACIA, Ila tuing'oe CCM kwanza

    Basi hapo kuna mawili, labda tume ya Prof. Mruma inadanganya kwa sababu zake binafsi labda ufinyu wa vifaa na muda pia (Siku 21 nadhani kama sikosei). Au feasibility study report iliongopa kwa sababu zake pia ( rushwa ilipita au uharaka na weledi wa mambo haya).
  8. dikembe

    Tutailipa ACACIA, Ila tuing'oe CCM kwanza

    Ina maana tulisign Mikataba bila kujua kiwango cha madini katika udongo/miamba yetu??? Kma tulifanya tafiti kabla na kugundua zipo kiasi kadhaa na kuithaminisha kiwango cha fedha kinachoendana na mkataba kosa ni la nani?
  9. dikembe

    Tume huru ya mchanga wa dhahabu iwe hivi:Ushauri

    Halafu swala la kiwango cha madini hili hufanywa kabla ya mkataba, mwekezaji anakuja kufanya utafiti kwanza, anajiridhisha na kiwango kilichopo kama kitamlipa ukifananisha na gharama za uchimbaji na processing kwa ujumla mpaka ifike sokoni. Srikali pia hutoa wawakilishi katika hili ili...
  10. dikembe

    Tume huru ya mchanga wa dhahabu iwe hivi:Ushauri

    Halafu kumbuka kosa kwa namna yoyote lipo upande wetu. Hawa ACACIA tutawalipa kwa namna yeyote tutakayo wasumbua. Tratibu za mikataba zilifuatwa vyama kwa upande wa ACACIA, tukaridhia na kusaini. Upande wetu ndio ulikua na shida, watu walipelekeshwa na vijisent sasa tunahaha.
  11. dikembe

    Tume huru ya mchanga wa dhahabu iwe hivi:Ushauri

    Kama walikubaliana na taarifa za utafiti za kiwango cha madini kilichopo ndani ya report itabidi watoe majibu. Hili jambo liliongozwa na uharaka na mkono mrefu wa rushwa, na walaiopokea rushwa ndio waliotuingiza katika sakata hili (iwapo tu data walizotoa tume ni sahihi).
  12. dikembe

    Tume huru ya mchanga wa dhahabu iwe hivi:Ushauri

    Hili zoezi ni la kwetu , njia yeyote tutakayoitumia tuchukue tahadhari kuu tusije tukajiingiza matatani kwa maamuzi yetu yanayopingana na mikataba tuliyosaini tukiwa na akili timamu, na kuisoma na kuielewa. Huwezi kuuza kiyu bila kujua gharama yake, huwezi kutaja gharama ya jambo bila kujua...
  13. dikembe

    Tume huru ya mchanga wa dhahabu iwe hivi:Ushauri

    Kwani kabla hatujaingia mikataba si huwa kuna zile research team za kugungua kiwango cha madini katika eneo husika?? Hizo report huhusisha mchanganyiko wa local researchers na hao wawekezaji, sasa tulivyopata hizo data na kuridhia na kupelekea kudondoka saini tulikua hatujielewi?? Ok, tulisoma...
  14. dikembe

    Kila nikiingia kwenye mahusiano najikuta namchukia huyo mtu

    Hebu msimulie kiduchu yaliyowahi kukusibu, PM lakini...usije ukakusanya kijiji
  15. dikembe

    Kila nikiingia kwenye mahusiano najikuta namchukia huyo mtu

    Bado halijawa tatizo kama umethubutu kuandika hapa, usijali yote haya yamekwisha leo. Usiwe na mtu kwa sababu unategemea kitu fulani, jaribu kuwa naye kwasababu unamuhitaji.
  16. dikembe

    Jinsi ya kutoona threads na comments za mtu

    Hayo ni matokeo ya kuumizwa...Wacha kabisa revenge za kuacha mutu. umeshamblock whatsapp, calls, text bado unataka umblock na huku jamii forum???hahahahahahaaaa Binaadam ana makeke sana akikasirishwa
  17. dikembe

    Kila nikiingia kwenye mahusiano najikuta namchukia huyo mtu

    Jifananishe na huyu uone kama kuna utofauti. unafurahia kuona machozi ya binaadam mwenzako?? Dark Passenger I just know there's something dark in me, and I hide it. I certainly don't talk about it, but it's there - always. This Dark Passenger. And when he's driving, I feel... alive, half sick...
  18. dikembe

    Kila nikiingia kwenye mahusiano najikuta namchukia huyo mtu

    Tunaita OVER EXPECTATIONS. Usitegemee sana makubwa kwa binaadam, mwamini Mungu wako kwa kila jambo. unaweza ukanitama ukaniandikia LIFE PLAN wakati hujui exactly what I have, kichwani na mfukoni. Unapoweka mategemeo makubwa lazima uone hana jipya na unajikuta unambwaga na kutafuta mwingine...
  19. dikembe

    Tupunguze kuwashirikisha marafiki zetu madhaifu ya wenza wetu

    miss chagga sio wana ndoa tu, hata wapenzi au wachumba wakifakarakana ni busara kumaliza mambo yao wenyewe. Tafakari tu, Mpenzi wako wewe ndio unamjua, unajua alichokukosea unajua ulichomkosea, kwanini usimkabili na kujishusha na kumaliza utata??? unanifuata na kunieleza juu ya mwenza wako...
Back
Top Bottom