Search results

  1. S

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Ni kweli umri si kitu, mie mke wangu ni miaka 26 na Mimi 38 maisha tamu kabisa, tuna watoto 3 mkubwa Ana 7 yrs na mdogo 7 months. Kwanza wanaume hawazeeki! Utapata kababu kwa Sanaa but kinapiga mavitu balaa.
  2. S

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Mini Nina miaka 38 mke wangu 26 tuna watoto 3, maisha ni raha kabisa, sie Kama kumbikumbi out Kama kawa heshima kibao kwa jamii wanaotuzunguka. Miaka si issue kumbuka wanaume hawazeeki Hata kibabu kinaweza piga vitu kwa binti na akajaaliwa watoto kibao
  3. S

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Mbona mwapoteza lengo?mpeni experience acheni kuzunguka. Mie Nina 38 mama Ana 26 mambo saafi kila kitu poa tuna watoto wawili jike na dume. Kama atakamilisha taratibu huyo ndiyo mume. Olewa mwaya. Hata hivyo vitabu vinaonyesha wanaume hawazeeki upesi huzaa na kugonga vitu Hadi umri mkubwasana.
  4. S

    Naomba mnijibu pls

    Kwa kua weather ya us inafananana tabora, kwanza wanalima Kama taborao
  5. S

    Vituko vya wakinga ktk biashara

    Unakataa nini shemeji wakati ukipata hasarara kermis biashara mnajinyonga?
  6. S

    Wamasai mna balaa nyie

    Balaa si bomu ni pale alipoagiza cocacola then akamwambia mhudumu bomoa hiyo illipofunguliwa akamwambia bima ya hamusini.
  7. S

    Misemo ya vyoo vya uswazi huko mombasa

    Sasa choo za huko hazina Maji wala tissue, hii majamaa bana
  8. S

    Wamasai mna balaa nyie

    Mori ukipanda Masai ni Kama gaid haogopi kujilipua
  9. S

    Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    Hata majina Yao ni ya kihaya. Sasa tafsiri na sie Wa bwagamoyo tuelewe
  10. S

    Misemo ya Mpoki jamani!

    The comedy siyo ya kuchekesha ni mamna ya kufikisha ujumbe fulani kwa wadau . Wasikilize kwa makini utagundua aidha wanakumbushia jambo au wanasisitiza jambo ambalo limeshazungumzwa na vyombo vingine vya habari.
  11. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Zimetubana tukijaribu kuvua zitachanika
  12. S

    Looking for microfinace partner

    Nipo Arusha mjini nitafute kwa 0754 724451
  13. S

    Kununua GARI

    Hata hivyo nilisaidia, yeye alileta issue hii kwa mabest baada ya kuona market ya GARI lake itachukua muda, akaomba nimtafutie Mteja nilivyona inakua ngumu kupata Mteja wa haraka Nae anashida nikaamua ninunue Mimi ingawa Sikua na mpango huo, baada ya wiki moja ndo akaibuka na swala hili. Hata...
  14. S

    Kununua GARI

    Jamani wakati Nanunua hii GARI , siyo Mimi pekee hata ndugu walishauri hivyo Kwani kimfaacho mtu ni Mali Yake na sio misaada pekee , huyu bwana siyo mchovu sana Kwani Ana GARI nyingine anayotumia sasa, ndo maana niliona Kama kuna katamaa ndani ya hilli swala. Kwa ubest na Mimi upo ila sio...
  15. S

    Kununua GARI

    Nikama wiki moja sasa, sijafanya ukrabati wowote, anaomba nimrudishie mwisho wa mwezi huu atakua amepata pesa. Kwa maana hiyo nitamsubiri kama wiki tatu hivi. GARI yenyewe ni Toyota corona siyo mzuri kiivyo na nimempa 3.5m
  16. S

    Kununua GARI

    Nina best yangu ambaye alikuja kwangu kuniomba nimtafutie MTEJA wa GARI yake. Alikua na shida sana Kwani alikua anaumwa. Kwa Kua wateja ni shida nikaona njia raisi ya kumsaidia ni kuinunua Mimi mwenyewe. Tukaelewana nikampatia pesa akanipatia GARI na file yake, baada ya wiki moja akanijia...
  17. S

    Mwenyekiti wa CHADEMA Usa River auwawa kinyama

    Da! Wameanza na mbwambo, tutafuata ss ila nawaalika alishabab kwa gram nafuu
  18. S

    Looking for microfinace partner

    Rajabterry@gmail.com
  19. S

    Looking for microfinace partner

    Siyo ndogo mkuu mabenki yanatoa kwa 2% -5% kwa mwezi hao wa 20%-30% kwa luga ya mtaani tutawaita vishoka. We are very formal and looking forward to a recognized institution in financial industry.
  20. S

    Looking for microfinace partner

    Kwa sasa nadhani nikisema nauza share soko la hisa hawatanikubali Kwani kampuni bado changa, wazo langu kumpata anayeweza kuwekeza kwa makubaliano ya kugawana faida , kwa kifupi sana ni hivi, tunakopesha kwa 10% kwa mwezi na marejesho ni ndani ya wiki 12. Hapa ina maana kama umeweka m1 baada...
Back
Top Bottom