Search results

  1. K

    Malazi kwa walimu wapya

    baadae utauliza chakula!
  2. K

    Malazi kwa walimu wapya

    ukiona hujapewa chumba acha hiyo kazi.
  3. K

    Ajira mpya za walimu

    unaishi wapi ?
  4. K

    Nakata shauri, ajira hamna, nimeamua kuingia kwenye siasa nikabanane na kina Mnyika

    uwezo ninao, shule ninayo, nina upeo wa hali ya juu, ingawa nilikuwa ctarajia kuingia kwenye siasa nikiwa bado kijana, but it seems is the only fair game
  5. K

    Kaa Chonjo: Kazi:Tanzania International University ni Utapeli tupu!!!!!!

    kama chuo hakiwezi kugharamia recruitment process yake, kitawezaje kulipa mishahara. Hakuwa org inaweza kukwepa kugharamia recruitment process yake. Msilaghai watanzania
  6. K

    msaada wa ushauri,natongozwa sana na wasichana kila mahali niendapo adi imekuwa kero kwangu,karibia

    Faki Haji Faki kutoka pemba anasema uweke picha yako plz anataka aone sijui anataka ya nini? Anasema na namba ya cm pia anataka.
  7. K

    msaada wa ushauri,natongozwa sana na wasichana kila mahali niendapo adi imekuwa kero kwangu,karibia

    huyo alihama masaki atii, sasa akalia kigogo, asema apenda kigogo yahee.
  8. K

    msaada wa ushauri,natongozwa sana na wasichana kila mahali niendapo adi imekuwa kero kwangu,karibia

    huyo tayari atii, mbona siku nyingi yahe, anakalia kigogo ati, amehama upanga yahe, asema apenda kigogo
  9. K

    msaada wa ushauri,natongozwa sana na wasichana kila mahali niendapo adi imekuwa kero kwangu,karibia

    biashara matangazo, kuna mbinu nyingi za kutangaza biashara za mtandao, wapenzi wa 0713 deal hiyo, au mpaka muambiwe kabisa, kuna watoto humu
  10. K

    msaada, benk inayotoa mkopo dhamana ikiwa ni group

    nauliza ni benk gan inatoa mkopo wa riba nafuu, lakin dhamana yake ina base kwenye group lakin mkopo unatolewa kwa kila memba kwenye kikundi?
  11. K

    bank loan proposal

    nenda FAIDIKA, riba 300 percent. Ukikopa 1m unarudisha 3m.
  12. K

    Kuna nini? kwanini UDSM tu?

    lakini si wanauwezo. Sioni tatizo.
  13. K

    Nimepata mtoto wa kike.

    hongera sana.
  14. K

    Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

    kama unafanya kaz huko, give us a break, yaani tumetupa hela yetu, huduma mbovu. Ngoja hiyo digtake ije nami nahama.
  15. K

    Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

    hata ugeuzie Mkuranga hamna kitu, hii kampuni magumashi tu.
  16. K

    Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

    yaani picha ni full kukwama. Najuta kununua.
Back
Top Bottom