Search results

  1. Mzalendo Mkuu

    LINDI: Viongozi wa Chama cha Msingi cha Pangatena waongeza mchanga kwenye magunia ya Korosho

    Hao ni wa kuwafunga haraka sana ili iwe fundisho kwa wenzao.
  2. Mzalendo Mkuu

    Spika Ndugai: TAMISEMI inaniudhi sana; kwanini inapora Madaraka ya Halmashauri?

    Wote tunashauriwa KUPAMBANA NA HALI ZETU.
  3. Mzalendo Mkuu

    Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

    Shida ya Wachezaji bora hupigana na wakati uliopo. Wahenga Wangesema: Pondamali, Mkambi na Sunday Manara nk. Hawa walikuwa juu sana wakati wao. Kwa Wahenga wa kati wangekuambia ni Lunyamila, Chambua na Kizota nk. Kwa Vijana wangekuambia Kanavaro, Ngasa na Msuva nk. Hivyo inategemea wewe...
  4. Mzalendo Mkuu

    Clouds FM: Match ya Yanga na Lipuli mnajikanyaga nini wakati ni wazi Yanga SC amebebwa

    Kwani siku hizi matomeo ya mpira yanamuwa moderated na Clouds Fm? Wao ni nani kwenye mpira wa Tanzania mpaka usubiri Tangazo lao,? Shida yenu Simba ni ileile kuamini kuwa mtashinda ligi kwa mechi moja. Mfumo huu wa matumaini ni mzuri sana hasa kama mtakuwa mnaupeleka mahospitalini ili kutoa...
  5. Mzalendo Mkuu

    Simba inafikiria kugomea kupeleka timu siku ya ngao ya hisani

    Lazima wakimbie tu maana siku hizi ni watu wa sababu. Hebu fikiria kiongozi anasema TFF viongozi ni kabila MOJA. Kiongozi kama huyo atakosa kugomea mechi? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mzalendo Mkuu

    Mwanadada Witness naona kaanza kufata nyendo za Gigy na Amber Lulu

    Ila mguu anao[emoji12] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mzalendo Mkuu

    Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    Nijuavyo tangu zama za kale ya ustaarabu huko Ulaya na Marekani Wanasheria huitwa kwa Utani THE LEARNED BROTHERS/SISTERS. Hii imechangiwa pia na nguvu na mbwembwe anazokuwa nazo Hakimu au Wakili pale mahakamani. Dhana hii ya learned ndiyo miaka ya karibuni imetoholewa na kuwa WAKILI MSOMI.
  8. Mzalendo Mkuu

    Huyu Mchezaji Hajui Kuandika Mkataba Atauelewa kweli?

    Kwenye hii mikataba ya uswahilini huwa ni combination ya sign na dole gumba. Ndiyo common practice.
  9. Mzalendo Mkuu

    Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

    Jamani huu mpira wa KUBEBANA SIYO POA. Nampongeza Refa kwa kuifanya Simba isidharirike.
  10. Mzalendo Mkuu

    Rais wa FIFA aipongeza Yanga FC kwa kubeba kombe la VPL

    Lakini viongozi wetu ni TATIZO. Yaani Yanga na Simba zinavyotumia fedha nyingi kwenye wachezaji wa nje ni AIBU. Bora Yanga wanaibiwa na kombe wanabeba kuliko hao wenzao
  11. Mzalendo Mkuu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Then Europa is holly as far as you be going to Jerusalem[emoji16]
  12. Mzalendo Mkuu

    Hali ya Komredi Kinana

    African Politics ndiyo utamu wake. Zinaburudisha BILA KUJENGA.
  13. Mzalendo Mkuu

    Top Burundi judge flees country in dramatic twist to crisis

    Hivi hawa viongozi wa Afrika Mashariki wako wapi? Yuko wapi Kikwete? Yuko wapi Kenyatta? Yuko wapi Kagame? Yuko wapi Museveni? Viongozi wetu wa asubiri nini kuchukua hatua? Au iko wapi mbona kimya sana? Amkeni Waafrika tuiokoe Burundi. Mungu Ibariki Afrika.
  14. Mzalendo Mkuu

    Gwajima akimbizwa Hospitali Muhimbili usiku huu

    Bahati nzuri Gwajima ana vipaji vingi. Licha ya hiki Kipaji cha KUTUKANA anakipaji cha kuombea wagonjwa na kufufua wafu. Nadhani atapona haraka maana atajiombea. Of course hata akifa kanisa lake ni kubwa sana linaweza kumfufua!
  15. Mzalendo Mkuu

    Yaliyojiri BMK, Ndiyo Maana Huwa Siwaamini Sana Wanawake

    Wanawake ni tatizo siku zote. Na kwa sasa moja ya mambo yanayotukwamisha ni hiyo dhana ya jinsi. Akili yao yote ni idadi sawa kwa gharama yoyote. Wanawake ni mama zetu lakini, ndiyo janga letu.
Back
Top Bottom