Search results

  1. Kibada

    JOB for everyone - make money by collecting electronic waste

    Well done guys.. I will pay a visit in your office in July this year.. I do appreciate your efforts..Thanks for considering to serve our environment ..
  2. Kibada

    Morocco Hackers Again! Je Tu-retaliate?

    Mi chichemi...:tape2:
  3. Kibada

    Nina kivimbe kwenye mbavu usawa wa breasts

    Ndugu nina kivimbe kwa zaidi ya miaka nane sasa sehemu niliyotaja hapo juu.. Hivi karibuni kimeanza kuuma na sijaenda hospitalini. Je kivimbe hicho kinaweza kuwa kimesabishwa na nini? Naombeni msaada..
  4. Kibada

    Nauza satellite dish ya euromax(full set) bei chee

    Nipe number yako ya simu tufanye biashara..
  5. Kibada

    Ving'ora na msululu wa gari za polisi kutokea Ukonga

    Eeh Mungu atuepushie mbali vurugu zinzotunyemelea kama Taifa.. Ameni
  6. Kibada

    Ndumba Mchana Kweupeeeee Mweee

    Huyu atakuwa maige alikuwa anafanya tambiko asimwagwe uwaziri.. lakini Mambo yakawa tofauti.. pole bro maige ...
  7. Kibada

    IGP Mwema, 'mob justice' na kuuawa kwa polisi

    police tendeni haki kwanza ndo mkemee mob justice ... mengine yanasababishwa na utendaji wenu!!
  8. Kibada

    Tanzania: Fake phones to be blocked soon!

    watagusa na tablet yangu ya kichina nini?
  9. Kibada

    Niliwahi kusema wazungu hawaishi vituko, mmeamini sasa?

    Huyo binti aliyevaa Jeans na sidiria ni msaliti... Avue vyote kama wenzake..
  10. Kibada

    Ahaya tena chagueni kliatu kipi ni kiboko kupita vyote?

    napenda mapigo ya yahoo na facebook..
  11. Kibada

    Huyu dada anaigiza ???

    Anamsubiri mtu...
  12. Kibada

    Zanzibar: Meli mpya yawasili!

    Kitu kipya kabisa au mtumba? Mhhhh...!
  13. Kibada

    Bongo Flava industry in the Scholarly article

    Someni hapa http://www.ifeas.uni-mainz.de/workingpapers/AP127.pdf kuhusu "The Bongo Flava industry in Tanzania and artists’ strategies for success".
  14. Kibada

    Usalama wa Taifa waibana polisi; NI KUHUSU TUHUMA ZA MKE WA KIGOGO KUTAPELI...

    Polisi ndo wanaochunguza? Yale yale.. kesi ya tumbili kapelekewa nyani...
  15. Kibada

    Tunu Pinda kamuuliza Mh. Mizengo Pinda swali kwenye mkutano wa hadhara

    Maigizo kila sehemu...!! Duh...!
  16. Kibada

    Hii project imefia wapi? mara ya mwisho wahusika walikuwa kwenye mfungo ina maana hawajaumaliza tu?

    Miradi mingi mikubwa Tanzania inalongolongo kweli.. Na pia ina mikono ya rushwa na mirija ya wenye meno walioko serikalini
  17. Kibada

    John Tendwa Live on ITV katika 'Kipima Joto' cha Masako!

    Hee kwahyo yaliyotokea Iringa anaunga mkono polisi kumuua Mwangosi?
  18. Kibada

    Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    Nahisi Kama kulikuwa Na MOU katika ya polisi Na waandamanaji...
Back
Top Bottom