Search results

  1. R

    Bahati haijirudii mara mbili TID huu ndo mda wako

    Anatakiwa achukue hatua gani ili upepo huu umpatie kipato?
  2. R

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Aisee, apumzike kwa amani.
  3. R

    Hii Ndiyo Teknolojia sasa, Baada ya Miaka 100 Israel Imefanikiwa kuunda hii kitu.

    Kwa kipindi hichi vita ni vya ki sayasi zaidi.
  4. R

    Mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo. Nifanyeje?

    Tuone kwanza picha, hlo eneo alilobarikiwa.. Hapo tunaweza kutoa ushauri sahihi.. Bila hivyo inabaki kuwa hisia tu.
  5. R

    Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani

    Ni hatari, muelekeo wa dunia sasa haueleweki. Hivi tunao waandishi field kutupa updates kwa kina ama ndio wote wapo busy kuchambua simba na yanga.
  6. R

    Dark days 17/03/20...

    2025
  7. R

    Kosa la Kikwete kwa Lowassa hasa ni lipi hadi wamtendee haya msibani?

    Yote kwa yote, je kuna anaejua wosia wa marehemu kwa familia yake? Sidhani kama tunaweza kuyajua yote.. Mengine yatachukua sana muda kuja kuwa disclosed.
  8. R

    Defence Web: Jeshi la kulinda amani la SADC lijiandae kukabiliana na silaha za kisasa kutoka kwa M23

    Sawa, tunasubiri.. Lakini hata uchawi ni high tech invisible dont see ✋
  9. R

    Biashara Kuu za Mtu Mweusi

    Miguu ya kuku, utumbo na firigisi, we huoni Mama nanii anasomesha na kulipa kodi ya nyumba?
  10. R

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Hakika biashara ya silaha na madawa ni moja ya biashara zinazolipa sana duniani.
Back
Top Bottom