Search results

  1. L

    Mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali (CAG) bwana Ludovic Utoah amuumbua Zitto Kabwe

    Wana JF kwanza mimi ninamashaka na taarifa yenyewe kama kweli imetolewa na CAG (Ludovick U) ninayemjua. CAG hawezi kutoa taarifa nyepesi na yenye makosa mengi kiasi hicho. Taarifa yenyewe haijahaririwa na wala haijasainiwa na Mamlaka husika. Hivyo basi tuachaneni na taarifa za mitaani ambazo...
  2. L

    CCM watembeza chakula kwa kutumia gari la serikali

    waangalie wasije wakapewa amphetamine za masogange.
  3. L

    Wizara ya Afya na ARV Feki Nayo ni Siasa Chafu?

    Nataka kujua elimu ya Dkt Lyimo na chuo alichosomea hana shule kabisa ya HIV/AIDS pia ARV inavyoonekana hajui nini hata madhara na zinavyofanyakazi hajui, na kama kweli ni daktari basi wagonjwa wetu wako hatarini.
  4. L

    Shigela: Chadema waangalie uongozi wa juu

    Atueleze ana miaka mingapi?
  5. L

    Dr. Kigwangalla anyang'anywa bastola na polisi nae atishia kujiuzulu ubunge!

    Ile ya mtaita nimependa, imenikumbusha mbali.
  6. L

    Jaji kiongozi Fakh Jundu amjibu Lissu kuhusu tuhuma zilizotolewa dhidi ya Mahakama Bungeni

    Kazi ipo. Hili swala liko kwa majaji(mahakamani) walimalize wenyewe, chezea tundu wewe.
  7. L

    Tanzia: Mama Hawa Ngulume afariki dunia!

    R.i.p in peace mama
  8. L

    Ujumbe wa Freeman Mbowe wabadili wengi Houston

    Ukitaka povu watafute Aggrey Mwanri na Wassira utalipata live.
  9. L

    CHADEMA kuchukuliwa hatua kali na Serikali kwa rafu zake - Wassira!

    wasira ha ha ha anamalizia ubunge wa mwisho mwisho roho inamuuma, kazeeka vibaya muacheni tu.
  10. L

    Mastaa wa bongo: JK amwita Diamond ikulu

    silly season, diamond to US ? silly season.
  11. L

    Masha achukua fomu Nyamagana

    Sikio la kufa halisikii dawa, wewe masha juzijuzi tu umeondoka mwanza kwa aibu, na fedheha kubwa leo hii unarudi tena? haya sasa nenda ukavunjike guu maana hautaki kusikia la mkuu.
  12. L

    Samwel Sitta: Wa kuogopwa urais 2015 ni Dr. Slaa tu

    Huyo mbowe, slaa, zito, jj wala tundu siyo saizi yake, mtu ambaye anaweza kupima naye uwezo ni makinda hata yeye atamuacha kwa mbali ndiyo maana alipokuwa spika na makinda naibu wake Anna alipima uwezo wake na akamuona mwepesi tu ndiyo maana akandaa mazingira ya kumung'oa na kweli akang'oka...
  13. L

    Picha: Ziara Amos Makalla Naibu Waziri, Habari, Utamaduni na Michezo

    Miaka hamsini ya uhuru shule ya udongo inajengwa hayo ndiyo maendeleo ya CCM.
  14. L

    Dk. Chegeni|Mgeja|Chizi wajitosa CCM

    Wenyewe wanasema nzi hufia kwenye kidonda, wamigeuzakeki yetu ya taifa kuwa kidonda.
  15. L

    CCM Lumumba-fungu la kikosi cha propaganda mitandaoni lazua minung'uniko.

    zomba, rtz, mwiba etc. hao ndiyo wanalilia posho ya lumumba iongezwe waweze ku propagate vizuri humu jf.
  16. L

    Mbunge sadifa juma khamis (ccm): Nipo tayari kumpiga risasi baba yangu

    Wazanzibara ndiyo akili zao zilivyo ndogo, tuachane nao.
  17. L

    Sijapenda Kikwete kupiga picha na Al Bashir wa Sudan kwa furaha wakati Bashir anawaua weusi Darfur!

    Jamaa ni noma alitakiwa awe muonyesha mavazi angefaa sana JK
  18. L

    Aibu jeshi la polisi kuwa na virungu vya kunyanyasa CHADEMA-Deo Fulikunjombe

    Deo mwanasiasa makini hataki kuingia kwenye historia ya siasa za majitaka ya chama cha mabwepande.
  19. L

    Mwigulu na propanganda za ccm makanisani

    CCM ni janjaweed Sungu alishamaliza baadaye mtamuelewa alikuwa anamaanisha nini.
Back
Top Bottom