Search results

  1. Malingumu

    Wafugaji wa kuku wa nyama tupeane mbinu kuhusu chakula

    Habarini wafugaji wenzangu. Nina imani mifugo yenu inaendelea vema. Mimi ni mfugaji mdogo na si wa siku nyingi sana, kwa kipindi nilichofuga mpaka sasa nimeweka malengo makubwa ya kufika mbali kwa hawa kuku wa nyama. So far uwezo wangu kwa sasa ni kuku 500 wa nyama(broiler), naona nimekua...
  2. Malingumu

    Msaada: Consumption ya Jeep Cherokee. 3,700 CC

    Helo wazee wa kazi!! Naomba kujua kwa anayejua kuhusu ulaji wa mafuta wa 2009 JEEP CHEROKEE yenye CC 3,700 inayotumia Petrol. Lita moja ya Petrol inaenda KM ngapi? Natanguliza shukrani.
  3. Malingumu

    Car4Sale Karibu uagize nasi gari leo toka Japan, UK,Dubai,Singapore

    Kwema mabosi? Nawakaribisha sana kwa uhitaji wa kuagiza gari toka nje ya nchi. Pia kama una gari na unahitaji kubadilisha tutakusaidia kuuza uliyo nayo ili ufanikiwe kuagiza uitakayo. Karibu sana. Nicheki kwa simu/WhatsApp: 0714772030. Kwetu ni salama na nafuu sana. Karibu sana. Karibuni Sana.
  4. Malingumu

    OnLine Tv

    Habarini! Jamani naomba kuuliiza hilo!! Inahitajika nini na nini na nikamilishe nini ili niweze kufungua ONLINE TV? -Mahitaji ya vifaa -Mahitaji ya mamlaka serikalini Asante.
  5. Malingumu

    Tuombe adhabu ya Mungu kwa wezi wa kura 2020..

    Habarini wakuu... Kichwa cha habari chaeleza...kimekaa kama si cha maoni lakini ni cha kupokea maoni.. Ni hivi kumekuwa na malalamiko sana baada ya uchaguzi katika nchi yetu hasa kwa wanaoshindwa uchaguzi kusema wameibiwa... mara nyingi hii huishia tu hewani kwa watu kulalamika hatimaye...
  6. Malingumu

    Mil 3 Naweza pata gari nzuri kidogo?

    Wajameniii natafuta gari ya bajeti hiyo angalau nitumie miezi michache.... mwenye connection,plz help
  7. Malingumu

    Wapi kuna viwanda vya pedi kwa ajili ya wanawake na kiwanda cha baby diapers jijini dar es salaam

    Habarini... naomba kuuliza vilipo viwanda vya pedi kwa ajili ya wanawake na kiwanda cha baby diapers jijini dar es salaam. Nina uhitaji wa kufika huko na sipajui,,, msaada wa maelekezo ya uelekeo please!!!!! sijamalizia title maana nilipost kabla sijamaliza...na sikuona sehemu ya kuedit...
  8. Malingumu

    Ushauri wenu wa biashara ya asubuhi

    Habarini... Kuna rafiki yangu anafanya kazi ya ofisini ila muda wake wa kuingia ni saa nne asubuhi... nimemshauri kuwa kabla ya kuingia ofisini anaweza akafanya kitu cha kumuingizia hela... sasa ameniuliza ni kitu gani? Mimi nikawa na idea moja ya kutengeneza say vitafunwa na kuvisambaza sehemu...
  9. Malingumu

    App zinajifunga katika simu...[emoji24][emoji24]

    Habarini wataalamu... Natumia Samsung J1 Ace, shida ninayoiona sasa ni kuwa nikifungua app fulani katika simu say WhatsApp/JF/Facebook yani kabla sijamaliza ninachokifanya inajifunga, so nalazimika kuanza tena... Hapa penyewe natype haraka haraka ili isije ikajifunga... Natatuaje hili tatizo la...
  10. Malingumu

    Arusha hakuna ukarimu kwa wateja

    Habarini wana wa nchi wenzangu, Naomba leo nishee jambo kidogo kuhusu hili jiji la Arusha. Ni takribani mwaka sasa nimekuwa katika jiji hili la Arusha kikazi, kabla ya hapo nilikuwa naishi Dar. Waswahili husema "mteja ni mfalme", hii kauli nahisi inatofautiana katika viwango vya kuthibitika...
  11. Malingumu

    Napata wapi SUZUKI CARRY ya mkopo......

    Wandugu habarini, ni hivi kuna biashara soon naianza na nina uhakika nayo kuwa itakiki, ni ya kusambaza bidhaa hapa jijini Arusha, sasa katika kusambaza inahitaji gari...nimepiga hesabu gari ya kukodi itanigharimu, nimewaza kama ningepata ya kukopa halafu nikawa nalipa taratibu taratibu ingekuwa...
  12. Malingumu

    Nawezaje ku-upgrade OS ya Samsung toka 2.2 ?

    Wandugu habarini... Ninataka kudownload app nyingi kama viber,whatsapp etc ila shida ya hii simu kila nikitaka download inaniambia OS ni ndogo...natumia Samsung S1. Plz help....
  13. Malingumu

    Je,unapenda nini katika mavazi? Juu,kati au chini..

    Habarini wapenda mitupio.. Ni ukweli kuwa mavazi yapo ya aina na namna mbalimbali kulinganga na mahali panapositiriwa. 1.Kuna Juu zaidi (hapa ni kofia,mizula n.k) 2.Kuna katikati., (Hapa ndipo mahala pa T-shirts,mashati,vitop na viblauzi kwa wenzetu KE na aina nyinginezo) 3. Chini karibu na...
  14. Malingumu

    Wapi Arusha Naweza jifunza lugha za kigeni?

    Habarini! nipo Arusha Mjini, ngependa kujua sehemu gani wanafundisha lugha kama Kifaransa,Kireno,Kichina au ki-spanish, etc. Kama unajua plz naomba msaada wako.. Shukrani!
  15. Malingumu

    Water pump inauzwa.

    ni ya aina hii pichani.(Robin). mjapan huyu. inasukuma umbali hadi mita 400, imetumika kidogo sana.... na haina tatizo lolote. (ipo mkoa wa Tanga) Kama unaihitaji njoo PM tuelewane. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Malingumu

    Elimu kwa mlipa kodi, tuelimishane

    Wasalaam. Kumekuwa na malalamiko sana kwa watu wengi katika kipindi hiki kuhusu ulipaji wa kodi, hasa katika matumizi ya mashine za kielektroniki za EFD katika ulipaji wa kodi. Binafsi sina uelewa kamili kuhusu haya mambo. Mfano katika matumizi ya hizo mashine za EFD, ni vigezo gani vinatumika...
  17. Malingumu

    Msaada:Eneo la kulima mahindi kwa Mkoa wa Arusha.

    Natumai mu wazima. Naulizia kwa mkoa wa Arusha ni maeneo gani naweza pata shamba la kuanzia ekari 30 kwa ajili ya kulima mahindi. Hata kama kuna anayejua na mkoa wa Manyara pia naomba anijuze. NB: Nataraji kulima msimu ujao wa mvua. Asante. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Malingumu

    Kibonde wa Jahazi-Clouds anaboa

    Habarini, Mi ni msikilizaji wa Clouds Redio kwa baadhi ya vipindi kikiwemo kipindi cha JAHAZI kinachoanza jioni majira ya saa kumi mpaka moja jioni. Katika kipindi hiki E. Kibonde ni mmoja wa watangazaji wa kipindi hicho. Mara kwa mara huyu jamaa amekuwa akileta stori sana za mapenzi. Yani...
  19. Malingumu

    Msaada: Biashara ya kununua vitu Dubai

    Habarini.. naomba mwenye uelewa na hii biashara anipe mwanga... natarajia kuanza biashara ya kuchukua vitu vidogovidogo Dubai na kuleta nchini.. je, -Gharama ya usafiri ipoje?(mtu binafsi) -Gharama na namna nzuri ya kusafirisha bidhaa tokea kule. -Malazi,na makazi mazuri na salama wakati nipo...
  20. Malingumu

    Bei ya mpunga na mahindi kwa sasa ipi?wapi?

    Habarini... jamani mwenye uelewa kuhusu bei ya chini zaidi ya gunia la mahindi au/na mpunga kwa mkoa wowote naomba anijulishe,ninataka fanya uhifadhi wa tani kadhaa kwa sasa,hivyo nikinunua mahala kwa bei rahisi kidogo itafaa.. Karibuni....
Back
Top Bottom