Search results

  1. bily

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Mambo yaliyo tokea kwa Marehemu hakika ni vigumu sana kuja kufutika kwa haraka katika fikra na kumbukumbu za former sponsor's personal doctor ilikua siku mbaya saana hali ilipoanza kubadilika najua hawezi kusema chochote Ila ipo siku atawasimulia wajukuu zake safari za kutoka Ferry mpka kwa...
  2. bily

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Yametimia yote yalioandikwa humu though kutokana na majukumu ya dunia hii korofi but ipo siku ntaandika vizuri tena kuhusu Boyz 2 men.
  3. bily

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Tulijua hili. Wish you a quick recovery TAL.
  4. bily

    Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    May the love and mercy of our Lord be bestowed upon to you people of Ukerewe and your family during this unfortunate time. May God rest (dead one) their heart in eternal repose. My most sincere condolences.
  5. bily

    Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

    Mkuu Pohamba salute ! Huyu former our boss issue yake ilianza kipindi cha uchaguzi 1995 ambapo Ben alichuana vikali na Mzee wa Kiraracha ilisemekana kuwa aliplay vital roles kum weaken Che Nka. Kumbuka mpaka jamaa wanamzima alikuwa on his way kwenda Canada via border Holili kabla jamaa...
  6. bily

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Ndiyo mkuu nilipita pale . Nimepamiss sana mazingira yale. One day I will be back in my motherland country.
  7. bily

    Hatimaye Ndugu wa Aqulina Akwilini wakubali kuchukua mwili wa marehemu

    Sometimes inabidi ata kutaja hili kabila inatupasa tubadili na majina huko nchini hali imekuwa mbaya sana . Ila kama tumetangulia basi tumetangulia they should run if they want catch up our race. Rest in peace Akwii .
  8. bily

    Hatimaye Ndugu wa Aqulina Akwilini wakubali kuchukua mwili wa marehemu

    We are praying for peace in motherland . Oh Lord grant this lil sister everlasting perfect life . Amen.
  9. bily

    EL MUST GO Nasema hivi inatosha LOWASSA Rudi

    Naomba ku declare kuwa mimi ni mwana mabadiliko muumini wa haki na usawa. Tangu kuja kwa EL speed ya Chadema imepungua Sana EL alisema anataka kuintransform chadema kiwe cha kinachofanya modern politics this is too contrary with his main objective . Lowassa Edward Ngoyai is killing opposition...
  10. bily

    Buriani Komredi Kingunge, Msomi wa TANU uliyelisomesha Taifa; Kizazi kilichoandaliwa kuongoza nchi yetu

    Haya mengine ni makubwa nakuambia hii mada itabadilika . The late + golden boys+ Privatization = jibu . Btw may Lord rest his soul (Kingunge) in everlasting peace.
  11. bily

    TANZIA: Mzee Kingunge Ngombale–Mwiru afariki dunia! Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    May Lord rest his soul in eternal repose. Amen.
  12. bily

    Pole sana kamanda Kilewo, Joyce ni msaka pesa hana uharakati wowote

    Majina yanashabiana sana mfano Aika wengi wanajua kuwa wamarangu ndo Aika wapo wengi wakati ata sehemu nyingine za uchagani kuna Aika . Ukitaka kututofautisha sisi wachaga basi angalia lugha zetu za kienyeji mfano wamachane wanasikilizana sana na wameru . Majina yanafanana.
  13. bily

    Reli Ya Kisasa Kutoka Morogoro Hadi Dodoma Kuigharimu Serikali Dola Bilioni 1.923

    Kwahio jiwe la msingi kuwekwa mpaka ikulu iruhusu ? Muendelezo ule ule wa one man show. What a damn !!
  14. bily

    Pole sana kamanda Kilewo, Joyce ni msaka pesa hana uharakati wowote

    Ilikuwa Mwanga nadhani ! Sasa kama angekuwa mjengoni huyo mke wake asingeleta ujuaji na ngenga kama anavyofanya kwa sasa.
  15. bily

    Pole sana kamanda Kilewo, Joyce ni msaka pesa hana uharakati wowote

    Ina maana ubuyu ipo classified ?
Back
Top Bottom