Search results

  1. K

    Forbidden knowledge, why?

    iko elimu hapa
  2. K

    Rabi Leo Baeck ni nani kwa Israel?

    nimejifunza mengi hapa
  3. K

    Chinese passenger opens plane door for fresh air

    me mwenyewe sijawahi kupanda ndege ngoja nijifuze kutokana na makosa ya wengine
  4. K

    Masikini Arusha Yetu

    arusha ni salama kwa sasa
  5. K

    Wanaokwepa Serikali 3 wajiulize Mh Pinda anaongoza serikali ipi? a.k.a Tanganyika

    Nimejifunza kitu leo na sasa naanza kuona umuhimu wa serikali 3.
  6. K

    ARUSHA TOWN: i dont feel safe there in my business and normal life in general.

    swala la mtaji linategemea na jinsi unavyotaka kufanya hiyo biashara coz kuna level tofauti. Kunawengine hawana mitaji bali ni midomo yao tu.
  7. K

    ARUSHA TOWN: i dont feel safe there in my business and normal life in general.

    hiyo business sina experience nayo sana bt nimeshawahi kufanya na ninamasela wengi wako pande hizo.
  8. K

    ARUSHA TOWN: i dont feel safe there in my business and normal life in general.

    karibu sana Arusha ndugu nakutakia mafanikio tele.
  9. K

    ARUSHA TOWN: i dont feel safe there in my business and normal life in general.

    coz ni "CLASSIC OLD SCHOOL". Bt dont wory ni sehemu salama sana kama ukijua kwenda kwa akili
  10. K

    ARUSHA TOWN: i dont feel safe there in my business and normal life in general.

    kuuwawa sio lazima uwe bilionea mbona hata walalahoi wanapigwa beto wanakufa? Cha muhimu ni kujua njia sahihi ya kupata unachotaka bila kutapeli na kuumiza wengine.
  11. K

    ARUSHA TOWN: i dont feel safe there in my business and normal life in general.

    umeishi Arusha kwa muda gani? Coz ninauhakika na ninachokuambia from my own personal experience. I dont chew the staff as many do bt am in business with those who do.
  12. K

    ARUSHA TOWN: i dont feel safe there in my business and normal life in general.

    mimi ni mzaliwa wa Arusha na ninamarafiki wengi maeneo hayo uliyotaja na situmii kilevi chochote japo wenzangu ni watumiaji bt they always consider me as one of them.
  13. K

    ARUSHA TOWN: i dont feel safe there in my business and normal life in general.

    Kama ukija kwa amani mbona utaenjoy. Ila cha muhmu jifunze kuwa na mawasiliano mazur na wenyeji na usipende makundi ya wahuni coz utakuwa unavutia matatzo upande wako, vita za kimakundi zipo sana.
  14. K

    VIJANA WATCHOUT:babu na baba zetu walipenda STAREHE wakasahau MAENDELEO

    Mimi binafsi nimekusoma. Asante kwa kujali vijana wenzako
  15. K

    GRACE, FAVOUR and MERCY of GOD

    Amen. God is gud
  16. K

    Wale wa Arusha

    Karibu broo me napatikana kiwanja cha big L kila wkend.
  17. K

    Somaliland the unreckongnized country achieves educational excellency than tanzania

    Ndugu zangu watanzania tukubali kunatatzo kwenye elimu yetu na tujitahidi kufanya kila liwezekanalo kutengeneza mfumo wetu wa elimu.
  18. K

    Soma kitabu cha Robert Kiyosaki "Guide to investment"

    me ninavitabu viwili vya robert kiyosaki cha kwanza ni poor dady and rich dady na cha pili ni guide to investment na vingine vingi na vyote ni soft copy . Kwa yoyote atakayeweza kunifuata nilipo ntampa kwa free. Napatika Arusha ungalimited. Tushirikiane kujenga nchi yetu
Back
Top Bottom