June 25, 2013
His Excellency Barack Obama
President of the United States of America
White House
Via facsimile: +1 202-456-2461
Dear President Obama:
Ahead of your first trip to East Africa, we would like to bring to your attention the deteriorating state of press freedom in Tanzania. In...
Jeshi limefanya mapinduzi misri na limemteua mwanasheria mkuu - adli mansour kuwa rais wa muda wa misri, morsi si rais tena! Haya mambo yameenda haraka mno na kirahisi bila kumwaga damu.
Jioni hii huko jiji la Cairo kumeharibika, wanajeshi wamejaa ndani ya jiji wakiwa na vifaru na magari ya kivita pia wamefunga barabara zote za kuingia na kutoka Cairo, hii ni baada ya Morsi kukaidi agizo la jeshi.
Pinda mtoto wa mkulima, waziri mkuu mwenye shahada ya sheria amevunja katiba ya jamhuri ya serikali ya Tanzania ambapo aliahidi kuwa atailinda. Ni mara ya pili mtoto wa mkulima anavunja katiba ya nchi, kuna wakati pia aliivunja kwa kusema wote wanaouwa alibino wauawe! Huyu baba inatakiwa...
Nafikiri muda wote anapiga mahesabu ya kuchaguliwa na ccm kuwa mgombea wa urais lakini namhurumia kwani ili cc iliyowekwa na JK ni ya kumchinjia baharini, hivyo hatafika nec ambayo ndo tegemeo lake, pole sana kakaangu EL, nakushauri uanze kupanga karata zako upya tena mapema!
Nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge mara nyingi lakini sijamsikia Lowasa akichangia lolote kwa jimbo lake au Taifa, ni nini anachofanya bungeni? au anasubiri posho ziingie!
Polisi wamechukuwa sheria mkononi ya kuwahukumu chadema, hili ni somo kuwa mtu akikuingilia mali yako mfano shamba au plot ni kumpiga afe au aondoke, na si kwenda mahakamani!
mchemba mgulu, RC wa arusha na ndo walipanga kuuwa watu wasiyo na hatia kwa kuwarushia bomu, lakini damu zilizomwagika ambazo hazzina hatia zitawahukumu. mchemba hatakiwi kuitwa mh. jina linalomfaa ni shetani mchemba mgulu. Mungu tunakuomba utulipizie kisasi.
Mahakama ya juu ya kenya ni huru, nina immani kubwa kuwa watatengua ushindi wa uhuru kwani wizi wa kura umeonekana na forms nyingi (no.36/34) hazikuonekana
Dakika 10 zijazo mbivu na mbichi kujulikana kama Uhuru ataendelea kuwa rais kama alivyotangazwa na tume au uchaguzi utarudiwa! kaa mkao wa kula...........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.