UNAWEZA UKATA FORM YA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI KUPITIA TOVUTI Tanzania Police Force na mshahara wa kuanzia utakuwa sawa na ule wa inspector wa polisi [mwenye nyota mbili] ambao laki nne na nusu kwenda mbele na posho la laki moja kila baada ya nusu mwezi.
Leo ndani ya jangwani mambo yalikuwa mabaya kwa ccm baada ya waziri magufuli kutangaza kuwa wanaotaka kurudisha kadi na kujiunga upya wajitokeze, watu wachache sana na hawafiki hata 100 na hakuna hata mmoja aliye enda kujiunga upya, baada ya kuona hali ni tete ndipo nape akalopoka kuwa hawapokei...
Nimeshangaa leo kwenye mkutano wa ccm jangwani kuona imejaza vitoto vingi vya sekondari na shule ya msingi,vikiwa vimeletwa kwa ajili ya kucheza ngoma na kufika mida ya saa kumi na mbili vitoto krb vyote vkawa vmelala ucngz kwenye majani.
Leo ndani ya jangwani wasira kasema vijana wa kitanzania hawaendi kwenye nchi ndogo kama malawi.kenya,msumbiji,botswana na zngnezo kwa sababu tanzania ina maisha mazuri kuliko nchi nyingi za afrika.
My take,niwatanzania wangapi wanaishi malawi ,zambia kukimbia ugumu wa maisha tz
Katibu mwenezi wa ccm leo ktk viwanja vya jangwani amesema uamsho wote ni kikundi cha majambazi hivyo anaiagiza serikali ya ccm iwashughurikie kama majambazi wengine.
my take,inamaana IGP na NCHIMBI walikuwa wanapatanisha na majambazi
hakuna dada nisiyempenda kama shonza,ninamfahamu maana nimesoma nae na ndo maana kwenye uchaguzi niliwaambia watu wawe makini sana na huyu dada lkn hawakunisikia.Ni mnafiki sn ninafaham A-Z siyo shibuda aliyemtuma kuna kigogo mwenye matatizo kama yake ndani ya cdm ndo kam2ma kwa kumuogopa heche...
Kiujumla zito ni mnafiki na nikiongezi pekee nisiyependa cdm na huku nyanda ya juu kusini akipewa nafasi yoyote ile kat ya uwenyekt,ukatbu au uraisi wengi 2taamia chama kngne
kila la kheri kamanda lema 2po pamoja sn hakuna mtu ninae mkubali kama lema,anayesema hana mvuto najua wote ni magamba yaliyogomea kwenye makalio na nawashaurini msubiri na mumuone ni jinsi gn anavyokubalika,hata hivyo magamba kinawauma nn mpk mseme anamvuto? acheni woga na kukijenga chama sio...
NDUGU SAFI SANA TUPE MAMBO YALIYOJILI HAPO NMC ILI TUWAPE SALAM MAGAMBA KUWA A .TOWN NI KAMBI YA CDM WAKAFIE MBALI KABISA HAO MAGAMBA NADHANI LEO WATAPIMA NGUVU YA CDM A.TOWN NA WAANGALIE UPEPO WENYEWEEEEEEEEEEEEE:kev:
Acha kuwa mwoga mnafiki mkubwa una uhakika gani kuwa wanaofanya hivyo ni mafancy wa CDM,kz kukurupuka tu kila wkt na kwnn wengine wacfanyiwe hivyo bali TBC tu mtayaona 2015 kama wanavyo lalama wenzenu wa zambia.NAPITA:bange:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.