Search results

  1. C

    William alirusha jiwe kizani na wengi tukaguna, diaspora hatuna hoja zaidi ya kupiga picha na wakuu!

    Hamuwezi kujitambua kwasababu ni malimbukeni. Sioni sababu yenu ninyi kuishi huko wakati wengi wenu mnaishi kwa shida sana. Na ndo mana mkiona watanzania wenzenu wanaokuja huko kikazi mnawakimbia Kwasababu ya kuona aibu.
  2. C

    Wema sepetu inatosha !

    unalalamika nini? kwani shamba la kwako?
  3. C

    Kutoka Viwanja vya Mashujaa Mtwara: Kampeni ya Vua gamba, vaa gwanda yaendelea

    jamani mie sijawahi ona umati mkubwa kama huu toka nianze kuhishi hapa mtwara
  4. C

    Getruda ndani ya MMU

    poa upendo kwa wote ndo jadi yetu watanzania
  5. C

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia CHADEMA, amepoteza kiti hicho kwa kuenguliwa na Mahakama katika kesi iliyokuwa inamkabili ya kupinga ubunge wake. UPDATE: Audio imepachikwa hapo baada ya maneno yafuatayo... Kesi hiyo iliyofunguliwa na makada watatu wa CCM, Mussa Mkanga...
Back
Top Bottom