Ni padri na wanafunzi wa form two ambao hawakwenda likizo. Huyo Padri Kawonga aliwahi pia kuwa Paroko wa parokia ya Mpepo (namfahamu personally). Nina ndugu yangu pia ambae mtoto wake amenusurika na amelazwa hospitali ya Mbuyula (MBINGA).
BLESSED ARE YOU Kigalagala. Wataalam wanasema, kutambua tatizo ni hatua kubwa kuelekea kulitatua tatizo hilo. USIKATE TAMAA, USIVUNJIKE MOYO. Kama ni ya kweli, Haya uliyoandika hapa, na yale unayowaza, HAYATAFUTIKA. Maamuzi yanayotokana na kupokea pesa, NI MAAMUZI YA MUDA MFUPI TU, na ukweli...
YOU ARE RIGHT. it is my hope that a few people may change the world. It may take time, but slowly, slowly, the majority will learn from the minority ! USIKATE TAMAA, your feelings and the words you write down today will be there to stay !
Mh ! ndugu yangu, unapotoa maoni ni vyema ukasoma vizuri kilichoandikwa, ukajua kimeandikwa na nani, ameandika katika mazingira gani. Nimeona maelezo hayo gazeti la mtanzania, pia gazeti la Mwanachi. Magazeti hapo yanatoa taarifa na mwandishi anaweza asitumie exactly words kama mhusika...
Let's assume wewe ni msomi na unafanya argument na DIV 5 (Yaani mimi). Tatizo lako ni kufikiri kuwa mtu mwenye akili nzuri na aliyeendashule ni Yule tu anayekubaliana na wewe kwa 100%, which is wrong. Tarehe16/04/2015 siyo mbali, na bahati nzuri Gwajima ametamka kuwa hatatoa documentshizo mpaka...
Unajua wewe na mimi tunajadili tu. That is why mwanzo nilikuomba tutumie maneno mazuri. Mimi niwe wazi tu, nimemfahamu Gwajima kipindi hiki cha msukosuko wake. Sina sababu ya kuwa "subjective", najaribu kuangalia flow ya logic tu. Watu (Bishops) wamekaa na wakaja na azimio. Mtu mwingine...
I am sorry, I HAVE NOTED NOTHING FROM YOUR ARGUMENT. I ACTUALLY DONT GET WHAT YOU TRY TO ARGUE. EBU FUNGUKA KIDOGO, MAANA NAONA MANENO TU MABAYA KAMA UJINGA, MAUJINGA NK. Unataka kusema nini ? Manake hoja ya msingi ilikuwa ni kuhusu mawakili wa Gwajima kuwaandikia barua Polisi. Nikasema...
Jamani, anayeogopa dola ni Gwajima. That is why Daily news latarehe 29/3/2015 liliandika kuwa wakati Gwajima anaanza kuhojiwa na Polisi, alitetemeka sana, akatokwa jasho sana, kisha akazimika. Ndiyo maana nikashindwa kuelewa, nikauliza, je ni Gwajima Yule aliyesema kuwa haogopi polisi, mahakama...
... Unaonewa, kweli wewe umeandika kilichosemwa na magazeti...umetimiza wajibu wako wa kupashana habari, ukijua wazi kuwa wengine hawapati magaziti hayo na wengine husoma second or third day !
Ndugu yangu, mimi naungana na wewe kushangaa hasa ninapoona huyo "boss" anapoitwa kwa mahojiano na hivyo vyombo alivyoviunda mwenyewe ili vimtumikie, anapoombwa vielelezo ili atumikiwe vizuri, anaanza kutetemeka, kutokwa jasho, na kuzimia (kwa kadiri ya daily news la tarehe 29 March 2015). Hivi...
Mh !, we Buchaman, Gwajima alipoenda Polisi tarehe 27 March alikuwa na hiari ya kwenda au kuacha. Polisi walisema " … ajisalimishe Polisi haraka sana kabla hawajamtafuta…" alikuwa na hiari ya kuacha kwenda ili ATAFUTWE. Hata kuhusu nyaraka, I am sure hajalazimishwa, ameombwa apeleke...
Nilikuwa nasoma pia hayo maswali ya ukali ya Twilumba. Kama mtu ni msafi, tena ni mtumishi wa Mungu, anaogopa nini kupeleka documents ? Jamani,documents tu ? Atoe photocopy, aende na wakili wake pale Polisi, wathibitishe kuwa zile copy zinatokana na zile originals. Polisi watazikagua, Then...
It is true what you say ndugu yangu, uko sawa na yeye yupo sawa. hata mimi nikiitwa na Polisi huwa naenda tu, nikijua ni mahali pa haki. Nikiambiwa nipeleke document yoyote kama cheti cha kuzaliwa, lesseni ya udereva, hati a nyumba, napeleka tu, maana najua ni mahali pa haki, wala siwezi...
Yeye SIO DOLA, that is why baada ya kutukanwa amekaa kimya. Gwajima kwa mdomo wake alisema haogopi DOLA: haogopi Polisi, haogopi mahakama na wala haogopi Bunge...That is what he said, kumbe wakili wa nini ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.