Search results

  1. JM K

    Joel Nanauka na harakati za Mtwara. Huyu kijana ni nani?

    Ni mtu flan smart tuu hana maneno Ruwamangi wa kiwoso
  2. JM K

    Joel Nanauka na harakati za Mtwara. Huyu kijana ni nani?

    Sahihi kabisa umeeleza vyema
  3. JM K

    Ni vitu Gani huvipendi katika Movie zilizotafsiriwa kwa Kiswahili?

    Nilichoka jamaa wa kwenye movie anasema i work for mossad huyu anaetafsiri akasema mossad alikuwa kiongozi wa Israel zamani
  4. JM K

    Kauli ya Jenerali Ulimwengu ituongoze siku zijazo kuwa makini

    Maana halisi ya great thinker [emoji119][emoji119]
  5. JM K

    Kauli ya Jenerali Ulimwengu ituongoze siku zijazo kuwa makini

    Ulikopita wewe hayo ndio majibu yako, hakuna wa kupendwa 95% nchi hii
  6. JM K

    Kauli ya Jenerali Ulimwengu ituongoze siku zijazo kuwa makini

    Hahaha Geita ya wap tena sitokei kanda hizo mimi
  7. JM K

    Kauli ya Jenerali Ulimwengu ituongoze siku zijazo kuwa makini

    Hapa kitakachoendelea ni kutukanana tuu, kifupi Magu alikuwa 50/50 kati ya kupendwa na kuchukiwa... Alifanya makubwa kwa Africa yetu hii yenye vichwa ngumu Lakini kwa baadhi ya watu walichofanywa only GOD knows, wazee wetu wa kichagga wahawakuamini kama jamaa ameenda kweli.
  8. JM K

    Mapenzi ya mwanasiasa kijana yalivyompa uchizi mwanaharakati wa Twitter

    Labda uko sahihi manake mengine ni mambo binafsi wengine hatujui ila kama anachojadili ni facts na ni ishu za kitaifa sio shida ...
  9. JM K

    Taasisi za Usalama wa Taifa zina nguvu kiasi gani?

    Mossad ni habari nyingine, ukisoma habari zao na operations walizofanikiwa ndio utaelewa binadamu wote ni sawa ni msemo tuu usiweke akilini
  10. JM K

    Baridi la Makete

    Mjomba huko wanaishi na mabarafu 24/7 na bado ukicheki mji una maendeleo lakini sisi hali ya hewa nzuri throughout ila bila bila
  11. JM K

    Tanzania sehemu ya social experiments, kwanza Ujamaa sasa hivi nwo!

    Nakuunga mkono lakini ujue hatujawahi kukodi viongozi kutoka nje maana yake wanawakilisha jinsi waafrika tulivyo, Watu weusi kuanzia Sub-Sahara mpaka south nenda nchibza Caribbean kote watu weusi maisha yetu ni shida! kuna kitu hatuko sawa kwa kweli... refer maneno ya P.W Botha kiongozi wa...
  12. JM K

    Msaada wa kupata viza ya Mexico

    Hao jamaa zake hawajui chochote kuhusu hilo? ila Mexico duh
  13. JM K

    Kama ungekuwa Rais ungebadilisha kitu gani?

    Kwanza katiba mpya yenye kuipa kila mhimili nguvu kubwa bila kutegemea mwingine na adhabu iwe ni kifo risasi hadharani kwa wezi wa mali za umma au wanaosign mikataba mibongo ya kuigharimu nchi, mikataba yote iwe wazi na ijadiliwe bungeni... Kuwa waziri lazima kufanyike vetting sio kuteua tuu...
  14. JM K

    Mayele kaonewa zaidi na waamuzi this season

    Well said [emoji122]
  15. JM K

    Iringa ni pazuri kuliko Dodoma

    Dodoma hii hii au, Dom city patamu kwa kweli labda kama mtu ulikuja miaka ya nyuma ila sasa hivi ku compare na Iringi sio haki labda kwenye usafi iringi iko vizuri
  16. JM K

    Wabunge wengi Tanzania ni Vilaza, weupe sana vichwani

    Hawa wabunge ni matokeo ya uchafuzi wa 2020 sasa wewe jiulize kiongozi kipindi hicho alikuwa nani!!
  17. JM K

    Hii imekaaje? Wachaga kuchukua nafasi 25 kati ya nafasi 40 zilizotangazwa na Taasisi kubwa ya Serikali

    Acha wenge na matusi kijana, unataka kusema ukitaka kufanya biashara Moshi au Arusha watakuzuia?? mawazo mufilisi kabisa, suala la huyo uliekutana nae kwenye deal za magari ni yeye kama yeye usihukumu kabila zima
  18. JM K

    Hii imekaaje? Wachaga kuchukua nafasi 25 kati ya nafasi 40 zilizotangazwa na Taasisi kubwa ya Serikali

    Nahisi tungeishia hapa maana jibu limepatikana... Asante sana ndugu kwa maelezo yako
  19. JM K

    Hii imekaaje? Wachaga kuchukua nafasi 25 kati ya nafasi 40 zilizotangazwa na Taasisi kubwa ya Serikali

    Itoshe kusema una uelewa mkubwa sana... Uchumi ndio muhimu ikulu kaeni nayo tuu
Back
Top Bottom