Search results

  1. mamayeyo

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Nakumbuka tena kiroja kingine cha ushamba wangu wa kupanda ndege. Baada ya ile safari ya kwanza kabisa toka DSM to MZ niliendelea kusafiri kwa ndege mara kadhaa lakini ushamba haukwisha haraka. Siku moja nilikuwa natoka Ars kwenda Dsm. Nilikuwa nimekunywa maji mengi hivyo hapo katikati...
  2. mamayeyo

    MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    MWALIMU AENDE WILayani atapata majibu
  3. mamayeyo

    Serikali: Tanzania haina haki miliki ya jina la Mlima Kilimanjaro

    Hata wakiandika ndege zao zote na mabus yao yote KILIMANJARO ukweli utabaki palepale kuwa mlima KILIMANJARO upo Tanzania. Nawashukuru wanatusaidia kuutangaza mlima wetu.
  4. mamayeyo

    Nitajieni vyuo vya kusomea u-nurse

    Tazama tovuti ya Haydom School of Nursing utaona maelekezo yote. Lakini kwa alama hizi andika maumivu. Wanahitaji awe amefaulu CHEM, PHY NA BIOLOGY kwa kiwango at least cha D. Tofauti na hapo hakuna kitu hapo hata kama Dini amepata A.
  5. mamayeyo

    Anayeona Posho Bunge la Katiba haitoshi, afungashe Virago!

    Kabisa, hii posho ni kubwa sana . Kulala na kula kwa siku kwa mtu wa kawaida hamalizi sh laki moja. Je hawa wajumbe si watu wa kawaida? Je wana huruma na nchi hii kweli? Hivi mwalimu anayeteseka kwa kazi ngumu ya kufundisha watoto wa taifa hili katika mazingira magumu, kupanga chumba, kula...
  6. mamayeyo

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Mie mara ya kwanza kupanda ndege nilitoka Dsm kwenda Mwanza. Process nzima hadi niingie kwenye ndege ilikuwa 'shughuli'. Nilikaa upande wa dirishani, tulipopita Ngorongoro crater eti sikuthubutu kuchungulia nje. Kisa? Niliogopa eti nikichungulia naegemea upande mmoja hivyo nikaona kama vile...
  7. mamayeyo

    Wanawake Arusha wanasikitisha, vipi mikoa Mingine?

    NI KWELI KABISA, WAMAMA HAWA WA ARUSHA MJINI WANAJITAHIDI JAMANI. WANASOMESHA WATOTO, WANALISHA FAMILIA, WANALIPA KODI ZA NYUMBA, WANAJENGA NYUMBA ZAO ZA KUISHI, WANATUNZA WABABA( BAADHI YA WABABA HAWAFANYI KAZI YOYOTE YA KUINGIZA KIPATO. KAZI YAO KUBWA KUSHINDA VIJIWENI WAKITEGEMEA JASHO...
  8. mamayeyo

    mwanzo Habari Kitaifa Kitaifa Serikali yawabeba waliofeli kidato cha pili

    ............... na kwa hisani na fursa hiyo hiyo wanafunzi akimaliza form six na D moja na S moja akipenda anakwenda kusomea ualimu wa sekondari. Katika mtihani wa mwisho wa ualimu anafalu kwa alama za chiiini sana lakini anapangiwa shule ya kufundisha.Huko shuleni ni kuvaa mlegezo/ kimini na...
  9. mamayeyo

    Edward Lowassa atangaza rasmi mbio zake za urais 2015...

    Mheshimiwa Dkt Goodluck Ole Medeye.
  10. mamayeyo

    Uhamisho

    Nenda kwa Afisaelimu wa Sekondari wa Wilaya yako utapewa mwongozo sahihi.
  11. mamayeyo

    Siungi mkono hotuba ya Rais Kikwete, SA

    Umejidhalilisha mwenyewe kwa thread yako. Speech ilikuwa muafaka katika wakati muafaka.
  12. mamayeyo

    MATUNDA NINAYOYAPENDA JE WEWE UNAYAPENDA MATUNDA YA AINA GANI? ELEZA HAPo

    Ninapenda machangululu na ngaiboshi. Siyaoni hapo.
  13. mamayeyo

    Big result now????

    Hapakuwa na mkuu wa shule hata mmoja! Ule mkusanyiko ulikuwa wa maafisa elimu wa mkoa na wa wilaya wa primary na secondary wa Tanzania Bara. Hapo ndipo walipochemsha. Wanapanga mipango yao, wanaizindua na wanatoa maagizo eti walimu watekeleze ili tupate BIG RESULT NOW. Walimu wanaofundisha...
  14. mamayeyo

    List ya wanawake kumi wanaoshika vyeo vikubwa bongo

    Jamani, walimu wanawake hakuna kabisa? Hawajafanya makubwa? Bila kujali usomi mimi namfagilia mwalimu wangu aliyenifundisha kusoma na kuandika miaka ileeee. Ni mwalimu Elizabeth aliyekuwa mwalimu wa darasa la kwanza na la pili toka miaka ya 60 shule ya msingi Sinoni, Arusha.. Hakuna aliyepitia...
  15. mamayeyo

    Tetesi: Mabinti wanabakwa JKT

    Uzee na utu wangu unahusianaje na hoja yangu huru? Nakutakia Jpili njema.
  16. mamayeyo

    Tetesi: Mabinti wanabakwa JKT

    Ni kweli. Mie nilikuwa JKT mwaka 1981/82. Wasichana wavivu na waoga wa kazi na kwata nzito walikuwa wanajilegeza kwa maafande ili wapate kaunafuu. Afande naye ni binadamu kwa hiyo ukijilegeza ni furaha kwake. Kwa hiyo miaka ile hapakuwa na kesi za kubakwa kwani mabinti walijipeleka wenyewe...
  17. mamayeyo

    Aliyetimuliwa kanisani kisa vazi asema alionewa na kiatu chake cha "uingereza" kiriharibiwa!!!!

    Mungu anaweza pia kukunyima miguu ya kuvaa viatu. Jambo la huyu dada linasikitisha sana kuona jinsi alivyogangamala wakati anafahamu fika kuwa alikuwa kinyume na maelekezo. Kanisani kwetu ilitangazwa kuwa mtu akija kufunga harusi akiwa mabega wazi ataazimwa joho la kwaya ili afungiwe ndoa...
Back
Top Bottom