Naomba ufafanuzi kuhusu wakuu wa mkoa/wilaya watakuwepo? Wanapatikanaje? Madaraka ya rais sijaona yamepunguzwaje. Kura za ushindi wa urais inakuwaje endapo aliyenda ana ushindi mdogo upande moja kwenye serikali ya shirikisho?
Wasusia Kuandika habari za serikali na chama cha Magamba (CCM) maana ndio waliotoa agizo hilo. Bila kushinikiza tume huru na kutoa ukweli kwa umma haitasaidia kabisa. Ila naunga mkono kwa wana habari kuweka Documentation yao kwa marehemu jinsi mambo yalivyotokea ili iwe kumbukumbu kwa siku...
Kitakacho wamaliza viongozi wote wa dini ya Kiislamu ni kuuweka udini mbele kuliko uwezo wao. Zitto siyo ajabu akang'ang'ania kuugombea urais 2015 japo anajua hataweza kukubaliwa na chama chake ili kukigawa chama lakini sasa amejionyesha mapema yeye ni wa namna gani. Wanaomuunga mkono wana fikra...
JK kusema kweli katoa uhuru wa kweli wa mambo kuchambuliwa sasa ni wakati wa sisi kutunga sheria mtu apelekwe mahakamani moja kwa moja baada ya hapo lakini yeye kama mkuu wa nchi hawezi kufanya hivyo maana sheria nazo zatungwa na Bunge. Na wabunge ndio wanakuwa wakali bila kujua je rais ana...
Zito komaaa na msimamo wako kesho hoja ipelekwe bungeni kutokuwa na imani. Tukisema eti Pinda hana makosa wakati yeye hataki kuwawajibisha mawaziri basi yeye abebe msalaba wao. Baada ya Pinda kutoka atafuata JK tena atatoka kwa aibu zaidi. JK kwa sasa hana tofauti na Gadaffi aliye waita wananchi...
Mimi nadhani wasamehewe na wawarudisha katika udiwani kuepuka gharama nyingine za uchaguzi endapo sheria ina ruhusu. Kama sheria itataka uchaguzi urudiwe basi kuna haja ya kukaa chini na kutafakari upya kwa wao kuwa wagombea tena. Busara itumike zaidi kuliko ushabiki. Na wao nao ni binadamu kama...
Mimi nadhani wasamehewe na wawarudisha katika udiwani kuepuka gharama nyingine za uchaguzi endapo sheria ina ruhusu. Kama sheria itataka uchaguzi urudiwe basi kuna haja ya kukaa chini na kutafakari upya kwa wao kuwa wagombea tena. Busara itumike zaidi.
Safi sana Cdm. Magamba watatamani Lema arudi Bungeni na jinsi alivyo na mvuto kila kona ya nchi ndio ataita hisia za watu kujua haki zao kwa unasaha. CDM mmebuni kitu kizuri sana. Hatukiwii kusikia na mikutano ya hadhara imekatazwa nchi nzima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.