Search results

  1. Dancani

    Msaada: Amazon ordering

    Mkuu kuna seller wanafanya free shipping kuja hata huku Tanzania nimenunua mzigo mwezi wa tisa kutoka UK umekuja bure mpaka hapa tena ni Kilo karibu 60, awe makini tu katika kuangalia selller anasemaje maana kuna wengine hawaleti huku kabisa
  2. Dancani

    Postal/zip code ya Tanzania ni ipi?

    Hivi unaelewa nini maana ya post code? je unaweza niambia post code ya nchi kam nchi ambayo sio ya area fulani?mfano ya UK, Canada au utakayoona wewe Halafu nitakuuuliza paypal wanafanya kazi gani.
  3. Dancani

    Postal/zip code ya Tanzania ni ipi?

    Heee, nipogo sana tu, si unajua net mpaka nipande juu ya mti. mic u2, karibu kijijini kwetu huku ule magimbi na mihogo
  4. Dancani

    Postal/zip code ya Tanzania ni ipi?

    Hizi hapa https://www.tcra.go.tz/index.php/publication-and-statistics/postcode-list
  5. Dancani

    Postal/zip code ya Tanzania ni ipi?

    Acha uongo, kama hujui si useme. angalia hizi hapa, https://www.tcra.go.tz/index.php/publication-and-statistics/postcode-list
  6. Dancani

    Photo paper

    Salaam, nahitaji photo paper size 6x4, 5x7, 6x8, 12x10 napenda iwe fujicolour crystal archive paper nipigie 0654574691
  7. Dancani

    vinyl plotter cutter

    Salaam, ni sehemu gani kwa Dar es salam naweza pata hizo machine
  8. Dancani

    Nahitaji mkopo wa kujenga nyumba ya kuishi. Taasisi gani inakopesha?

    Ila pia ni vyema ajue na huko kwenye biashara kama hana uzoefu ni bora asiingie heizo hela kichwa kichwa asije akapata hasara, maana wataalamu wa baishara wanashauri hela za mkopo ni vyema zitumike kwenye kuendeleza biashara na sio kuanzisha.
  9. Dancani

    Tofauti kati ya tgts na tgs

    Kwani wa wakaguzi wa shule hawana taaluma ya ualimu?
  10. Dancani

    Watoto kukaa kwenye gari huku wazee wamesimama haifai

    Mkuu japo tamaduni zetu hazifanani ila kuna vitu vya msingi ambavyo vinaingiliana na inatakiwa tuvipe vipaombele, maana kwenye jamii makundi yote ni muhimu na siya kudumu kama unavyojua kwenye maswala ya ukuaji wa binadamu na lazima hatua hizo tupitie, ni muhimu kuweka mambo sawa ila kila...
  11. Dancani

    Watoto kukaa kwenye gari huku wazee wamesimama haifai

    Mkuu sio kuiga uzungu tunastahili kufikiria haya tukiwa na umri wa ujana hasa kwa watunga sera, wenzetu wanajithamini kwa kuweka mifumo mizuri hata wakizeeka, mfano la siti zao maalum kwenye mabasi au hata vituo vyao vya kuwahudumia, Huku kwetu ni kula ujana tu yambele yatajisumbukia yenyewe
  12. Dancani

    Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

    kwa mujibu wa hiyo link hapo chini nanukuu baadhi Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amewatimua vigogo 13 kutoka Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi na Afya na Ustawi wa Jamik atika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na kuwarejesha...
  13. Dancani

    Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

    Kama nimesikia vizuri Mwakyembe hajawafukuza kazi, ila amewarudisha kwa muajiri wao yeye hataki kuwaona pale airport
  14. Dancani

    Nauza line ya tigo pesa na fax machine

    Samsung wana model nyingi za fax machine yako ni ipi?
  15. Dancani

    Nauza laptop hp elitebook 2570p

    Kwani muuzaji amekwambia anauza aina zote za elitebook au hiyo aliyoitaja? Je unasemaje kuhusu muonekano wake
  16. Dancani

    Kila la Heri Ivona Kamuntu

    Ha ha ha! si wewe huyo ndio umenifundisha, hivi nakuonesha mie mwanafunzi mzuri jamani
  17. Dancani

    Kila la Heri Ivona Kamuntu

    Fafanunua kivipi
  18. Dancani

    World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    Kichwa chako cha habari umeandika Cooling break halafu unatuuuliza inamaana gani, labda ungeuliza kwanini
  19. Dancani

    Wanawake wafanyakazi ndivyo walivyo katika ndoa?

    Kwani ndoa maana yake ni nini? Na umeshajiuliza kwanini ndoa inapovunjika mara nyingi huwa kunatokea kugawana kwa mali iliyochumwa kipindi hicho
Back
Top Bottom