Search results

  1. N

    Wezesha uwezeshwe, Saidia usaidiwe

    Kwa hiyo nachanga kwa nani? Kama natuma hela kwa tigo pesa huo mfumo wa icharity unahusikaje na muamala wa pesa?
  2. N

    Elimu ya Nape Nnauye

    Napata shida sana na hizi propaganda zilizoanzishwa hivi karibuni za kuchafua baadhi ya Wanasiasa;1.Mnyika hana digrii. 2.Mbowe ni DJ 3.Slaa anatumia jina la mtu tofauti.Sijui yana malengo na tija gani kwa taifa hili. Sina bahati ya kusoma kitabu kilicho orodhesha elimu feki za baadhi ya...
  3. N

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Uislam una nguzo saba,je hii ya kuchinja ni nguzo ya ngapi?.Wakristo wameendelea kuwa wastaarabu na wavumilivu katika hili kwani kuchinja waislamu ni suala la muda mrefu wala halikuwa na shida.Sasa tatizo limekuwa nini?
  4. N

    Taarifa ya BAVICHA kwa vyombo vya habari kuhusu kuwavua uanachama wanachama wake

    wenye kwenu kwaheriiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!! teh teh.wafadhili sijui kama wataendelea na ufadhili kwani ndo hakuna kazi ya kuwafanyia nje ya cdm/bavicha. watakula jeuri yao.jipangeni kukata rufaa na kupiga kelele kwenye vyombo vya habari ili msisahaulike mapema.................
  5. N

    Zitto: Ujenzi wa CHADEMA imara - Fuata misingi!

    mkakati muhimu wa pm-7 a.k.a masalia ni kuwagombanisha mwenyekiti na katibu.naona hii ni mbinu mojawapo.
  6. N

    Henry Matata: Dr. Slaa mwongo no. 1 duniani

    Itafahamika tu mwishom wa siku.Jina lake tu ni tafsiri ya jinsi alivyo
  7. N

    Waraka no. 1 wa mwaka 2012 wa Mbunge kwa Wananchi- “Ukweli ni Uhuru”- Mnyika

    Mkuu Anheuser UKWELI NI UHURU DAIMA, sasa unataka kutapika nini? huamini hilo? basi tapika mpaka utoe nyongo but ukweli ndo huo.
  8. N

    Waraka no. 1 wa mwaka 2012 wa Mbunge kwa Wananchi- “Ukweli ni Uhuru”- Mnyika

    Kiongozi Kwa hiyo Rais anao uwezo wa kikatiba wa kuepusha bunge kuvunjwa kwa kutumia vipengele ulivyotaja ili kufanya marekebisho hivyo wabunge hawatafikia hatua ya kupiga kura ya hapana kwa bajeti.????
  9. N

    Maige amwita Nape 'Gamba', Nape amjibu...

    bora ametolewa uwaziri ili apate kuimarisha chama,alikuwa wapi siku zote?
  10. N

    CCM mmeridhika na Livingstone Lusinde?

    Sipati picha kwenye kampeni zilizompa ubunge ilikuwaje na hasa kwenye kura za maoni
Back
Top Bottom