Search results

  1. mhagama1

    TAKUKURU imtafute na alietoa rushwa kwa trafiki aliefukuzwa

    Pia ninachangia haiwezekani polisi afukuzwe kazi na huyu mtoa rusha asiazibiwe please tunaomba sharia ya rushwa inasema mtoa rusha na mpokeaji wote wanamakosa sawa, sasa kwanini na huyu mtoa rusha asitafutwe na kukamatwa please please please baba wa huyu askari ana familia yake inayomtegemea...
  2. mhagama1

    Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Salum Mwalimu, yupo wapi?

    yupo kwenye kampeni leo yupo mtaa wa kikwajuni sport club
  3. mhagama1

    Kauli ya Lowassa siyo sawa, inahamasisha vurugu

    kulinda kura tatizo liko wapi sisi mbona tulilinda kura zetu ktk serikali ya mtaa na tukashida bila kumwaga damu?
  4. mhagama1

    Kingunge kakurupuka, Polisi nao wamekurupuka kifo cha Mtikila

    tatizo siyo magufuli, ni mfumo mzima wa utawala sasa kupitia Mzee lowasa sisi tutampa kura ili ccm waondoke zake wewe hujui sisi watanzania tunateseka vipi maisha yamekuwa magumu kila kona bei ya mafuta inapanda kila siku, mafuta ya taa bei juu sasa maisha anatulazimu kutafuta njia mbadala na...
  5. mhagama1

    Lowassa hatukuwa rais kwasababu

    yes for lowasa hakuna mwingine
  6. mhagama1

    Laurence Masha mbioni kufanya maamuzi magumu

    Mmm hii ipo ccm tunatambua sana ...ogopa ulipo tupo,, acha fitina
  7. mhagama1

    Sema usikike: Kwanini utamchagua Dr. Magufuli au Edward Lowassa?

    Mimi ni ninamchagua magufuli ,, kwanza kaleta vivuko mibovu hapa tz na juzi juzi kimmoja kilichokuwa kinafanya safari zake dar to bagamoyo kimekufa na kupelewa mkoani lindi kwa ajiri ya kukificha watu wasikione machoni mwao,, kasimamia barabara movu baada ya kuwapatika wakandarasi wasiyo na...
  8. mhagama1

    Nitakuwa mwendawazimu nikimchagua muhujumu uchumi

    Dege imesharuka subiri itakaporudi then utapanda tu
  9. mhagama1

    UKAWA ni adui wa demokrasia Tanzania

    subiri uchanguzi upite then muweke hizo point zenu moto umeshawaka sasa kuzima ni ngumu
  10. mhagama1

    Mdahalo ni lazima sio hiari

    mimi kwa mawazo yangu mdahalo ni sawa ila kwa sasa mgombea wetu yupo busy kutafuta support kwa wazee na akina mama kwa sababu vijana wote numemkubali, sasa ushauri wangu kwa makamba ni kwamba mdahalo huu uwe kwa wenyeviti wa vyama vikuu MH. BOWE VS MH. KIKWETE ,,, NAPE VS MNJIKA ,,,,,,, HAPO...
  11. mhagama1

    Wagombea Udiwani wa CHADEMA Vunjo, wamkataa Mbatia

    Frola ni mwandishi wa habari na mwanachama wa TLP unategemea ataandika mazuri juu ya adui yao mbatia?? wakati anajua kuwa NCCR vunjo imechukua viti vyote kasoro vitatu tu katika uchaguzi wa serikali ya mitaa sasa hapo ndipo utakapojua asali na ndimi kipi kitamu??
  12. mhagama1

    Ni lini Frederick Sumaye amehamia CHADEMA?

    Jamani acheni jazba hivi ni chama gani kikubwa Tanzania baada ya ccm ? tuwe wakweli kwa hilo sasa kujiunga chadema ni jambo la maana kwa sababu upinzani wa kweli unatoka kwa watu wanaojua maendeleo kama watu toka pande hiyo, mimi kwangu sina ubaguzi kwa hilo mwache mzee sumaye ajinafasi na bado...
  13. mhagama1

    CCM fanyeni haya kujitathimini

    aliye lala usimwamshe
  14. mhagama1

    Wanazuoni watoa ya moyoni

    WAPO WANGAPI KATIKA NCHI YENYE WATU 48MIL? waliojiandikisha watapiga kura ni wengi ni vijana kuanzia miaka ya 1978 hadi 1995 hawa wapo milioni 7,450,240 ndiyo ushindi wa lowasa ulipojificha hapo na wengi hawasomi mambo kwenye mtaandao hao wanasbiri siku ikifika wakate tu basi. Lowasa ndiye...
  15. mhagama1

    Lowassa aumbuka

    Ninaomba muelewe issue siyo lowasa watu wanatamani mabadiliko kuona ccm inakufa na hii familia inaondoka. asante sana kwa kutambua hilo.
  16. mhagama1

    CUF waibua Mgogoro mpya, Shaibu Mketto kuzungumza kesho

    mwaka huu kazi ipi leo ni Iringa
  17. mhagama1

    Nimepigiwa Simu nitafute watu 50 kuwakampeni UKAWA

    sasa kama unaombwa shida ni nini mbona kawaida tu kule kwetu kigamboni mbona wajumbe wanapita kila kibanda kuomba kura kwa chama tawala ni kitu cha kawaida kama hutaki unasema sitaki hiyo siyo post ya kutuletea sisi lete za maana tuchangie.
Back
Top Bottom