Search results

  1. M

    UDOM yadaiwa Tshs 240m kwa kuwafukuza wanafunzi kinyume na sheria

    leo nilikutana na rafiki yangu anaefanya kazi utawala wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), akanidokeza kuwa kuna wanafunzi 24 walifukuzwa kwa sababu walikutwa wapo kwenye gari wamevaa sare za Chadema wanakwenda kwenye mkutano wa CHADEMA. wakaenda mahakamani, ikaamuru warudi. kwa kuwa Chuo kilikiuka...
  2. M

    Waraka wa wazi kwa mh. Raisi dr. Jakaya mrisho kikwete - kutoka udom

    @Enkokromi, lugha ya mawasiliano kwenye ofisi zote za Serikali ni Kiingereza na Kiswahili. Hiyo ya Mwenyekiti kwa kuwa ni ya kikazi zaidi na ni ya ndani, na pia ni ya kisheria zaidi, tuliamua tuandike hivyo, ila ingeweweza kuandikwa hata kiswahili. Hiyo ya Mh. Raisi, kwa sababu ni ya wazi na...
  3. M

    Waraka wa wazi kwa mh. Raisi dr. Jakaya mrisho kikwete - kutoka udom

    Hawa wazee wamekuwa kama msalaba, hawa vijana wanaowasumbua leo. Ndio viongozi wa taifa hili, nadhani wanashindwa kusoma alama za nyakati. wamejaribu kutumia mwamvuli wa udini, inashindikana, wakaingiza siasa inashindikana. Cjui vizuri Mh. alitumia vigezo gani kumleta Mwapachu kuwa Mwenyekiti wa...
  4. M

    CHADEMA wajiondoa kugombea ubunge - EALA

    Kuna watu wana ushabiki wa kijinga kabisa, cjui ni tatizo la kukulia Chai ya rangi na urojo? :yell:. Walichofanya CHADEMA ni sahihi kabisa. Maadam wameona hawatendewi haki, wameamua kuitafuta. Je mnafikiri hizi Mahakama ziliwekwa za nini? Mnapochangia mambo ya msingi muwe mna busara. :nod...
  5. M

    Waraka wa wazi kwa mh. Raisi dr. Jakaya mrisho kikwete - kutoka udom

    Siku za karibuni, UDOM kumeanza kutokea tena ukiukwaji wa sheria. Na kuna wimbi la kufukuza wafanyakazi kinyume na sheria. Kilichonisikitisha ni kitendo cha wafanyakazi kukata rufaa. na kushinda rufaa hizo, ila Uongozi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma ukatumia ubabe ukakataa. hii ni baada ya kuona aibu...
  6. M

    Udom haina mmliki.

    Ukweli ni kwamba legacy of UDOM ipo tu, na inatambulika. Chuo ni kizuri sana, ila kina matatizo ya wazi kabisa. Hilo la kutojua mmiliki linaweza kuwa chanzo cha kuwa na majengo yasiyo na ubora. lakini pia kuna mambo ya 10%.:help: Shida ni kwamba kwa kweli tunahitaji mabadiliko pale, ili tuweze...
Back
Top Bottom